N ndonji Member Joined May 13, 2023 Posts 8 Reaction score 10 Apr 6, 2024 #1 Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi.
H Happy happy Member Joined Jul 3, 2023 Posts 13 Reaction score 19 Apr 7, 2024 #2 ndonji said: Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi. Click to expand... Aina hii ya Kilimo hutumika hasa maeneo yenye muinuko mkali(milima) kupunguza mmonyoko wa udongo, upotevu wa maji na virutubisho vya udongo. Pia ukiingia google Kuna maelezo mazuri na picha kuhusu contour farming. Attachments Screenshot_20240407-214459.jpg 743.1 KB · Views: 12
ndonji said: Habari zenu wakuu! Kama kuna mtu anaweza kunielewesha aina hiyo ya kilimo(kontua) naomba anisaidie. Ukitupia na picha itanisaidia kuelewa zaidi. Click to expand... Aina hii ya Kilimo hutumika hasa maeneo yenye muinuko mkali(milima) kupunguza mmonyoko wa udongo, upotevu wa maji na virutubisho vya udongo. Pia ukiingia google Kuna maelezo mazuri na picha kuhusu contour farming.