Nipo Songea kwa Sasa, ila umenipa wazo zuri, wacha niangalie nafasi ya kwenda kwanza Tanga then niende Zanzibar, nifanye study tour.1.Mkuu uko mkoa gani?
2. Unahitaji kulima kiungo gani?
3. Soko liko wapi?
4. Unataka kulima ukubwa gani?
Haya ni maswali muhimu kabla hujaanza kulima.
Nashauri uende zanzibar kuna mashamba ya viungo unaweza kutembelea kujifunza na kupata miche pamoja na mbegu
Soko lipo? Ukiamua kulima kibiasharaNipo Songea kwa Sasa, ila umenipa wazo zuri, wacha niangalie nafasi ya kwenda kwanza Tanga then niende Zanzibar, nifanye study tour.
Sent using Jamii Forums mobile app