Kilimo cha kungu manga

Kilimo cha kungu manga

1.Mkuu uko mkoa gani?
2. Unahitaji kulima kiungo gani?
3. Soko liko wapi?
4. Unataka kulima ukubwa gani?
Haya ni maswali muhimu kabla hujaanza kulima.
Nashauri uende zanzibar kuna mashamba ya viungo unaweza kutembelea kujifunza na kupata miche pamoja na mbegu
 
Kungu Manga
Watu Wa Viungo Huko Tanga & Zanzibar Mdau Anawangoja Hapa Kupata Lolote
 
1.Mkuu uko mkoa gani?
2. Unahitaji kulima kiungo gani?
3. Soko liko wapi?
4. Unataka kulima ukubwa gani?
Haya ni maswali muhimu kabla hujaanza kulima.
Nashauri uende zanzibar kuna mashamba ya viungo unaweza kutembelea kujifunza na kupata miche pamoja na mbegu
Nipo Songea kwa Sasa, ila umenipa wazo zuri, wacha niangalie nafasi ya kwenda kwanza Tanga then niende Zanzibar, nifanye study tour.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom