Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

Binafsi nimeambulia debe 3 heka moja
Huwa nawashangaa sana mnao commit hela Mikoa ya Kati,Kanda ya Ziwa kutoa Kagera na Kaskazini kwenye Kilimo Cha kutegemea mvua wakati uhakika wa kupata ni 50%

Kilimo fanya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,Magharibi kutoa Tabora na Kusini huko uhakika wa mvua ni 100% sana sana itazidi.
 
Wakuu salaam,
Natumaini mapambano yanaendelea.
Ninaomba kuelimishwa mambo yafuatayo katika kilimo cha maharage msimu huu.

1.Jinsi ya kupanda kwenye matuta au Sesa
2.Busta nzuri inayofanya vizuri kwenye maharage,hapa naomba mwenye kujua zaidi kuhusu hizi busta ambazo zinafanya vizuri maana hapa ndo kila kitu.
3.Sumu inayofanya vizuri kabla ya maharage kuweka maua
4.Sumu ambayo itafaa baada ya maharage kuweka maua ambayo haitakuwa na harufu kali kufukukuza nyuki.
5.Dawa ya ukungu inayofaa katika maharage
6.Dawa nzuri ya kuzuia magugu kabla ya kupanda.
Asanteni kwa mchanganuo mtakao nipa.
Nalimia wilaya ya Tanganyika Katavi.

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo app inaitwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…