Banda_junior
New Member
- Aug 1, 2020
- 1
- 1
Haya si kwamba yamezidiwa na maji?!Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
View attachment 2881780
Mbegu za mahindi zinatofautiana kulingana na ukanda...sema unataka ukayalime ukanda upi?!Nataka kujua ipi mbegu bora ya mahindi? Hasa kwa biashara
Hapa inaonesha ulipanda bila mbolea au shamba linatuamisha maji sana, hii rangi ya dhambarau inaonesha upungufu mkubwa wa phosphorus P, ambayo inapatkana kwenye mbolea kama DAP, TSP, MINJINGU, NPK &NPSNaitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
View attachment 2881780
Mbegu za mahindi zinatofautiana kulingana na ukanda...sema unataka ukayalime ukanda upi?!