Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Mkuu kilimo kinalipa sana ila kinahitaji uvumilivu, mimi naweka mambo sawa nikimaliza najikita kwenye kilomo maana huko watu wa kodi hawasumbui na mazao (unprocessed) hayana kodi.
expand...
Naomba ushauri wako Kaka. Nimepanda miti ya mipapai ....... Bahati mbaya eneo lina mchwa Sana. Nini mbadala wa kupulizia zile dawa sumu za wadudu za madukani??? Nimeambiwa nikimwagia majivu karibu na mizizi Itasaidia.

Naomba ushauri wako wa kitaalamu. Natamani nisitumie zile sumu za wadudu za madukani.
 
Kwa wakulima.wenzangu usinunue miche from unknown sources..utajuta...jitahidi kuotesha mwenyewe.....to be sure 100%.

Wasaka tonge mjini ni wengi kuwa mwangalifu.

Ni kazi kubwa ila ukijua ni kama unasukuma mlevi...

Pata mbegu za F1 zipo madukani.
 
Nadhani nikama hizi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za leo wanajamvi hapa Jf kilimo na uvuvi.

Napenda kuanzisha mradi wa kilimo cha mapapai. Nafahamu kuwa humu kina wataalam na watu tofauti ambao wanawe,a kuniapatia ushauri wa maandalizi yanayotakiwa kuanzia maandalizi ya eneo(shamba),mbegu za aina tofauti na sifa zake,matunzo na hats masoko.

Natambua kuwa haya ni miongoni mwa matunda yanayohitajika sehemu nyingi,yanaanza uzalishaji mapema na yanaweza kustawi sehemu mbalimbali za nchi hii.

Nawaomba wadau ili kupata ufahamu zaidi.

Wasalaam.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa.

Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
We jamaa umeanzisha nyuzi nyingi sana, halafu watu wakikuuliza maswali haujibu humu unataka mtu apige simu. Una kila dalili ya kuitwa tapeli. Ukiendelea hivyo inabidi tuombe msaada kwa Mod wakupige ban. Kama kweli kwanini usiwe unajibu maswali humu?
 
We jamaa umeanzisha nyuzi nyingi sana, halafu watu wakikuuliza maswali haujibu humu unataka mtu apige simu. Una kila dalili ya kuitwa tapeli. Ukiendelea hivyo inabidi tuombe msaada kwa Mod wakupige ban. Kama kweli kwanini usiwe unajibu maswali humu?
Maswali yote yamejibiwa
 
THE HORTICULTURISTS

Jiunge kwenye kundi letu la whatsap tujadili mada mbali mbali kuhusu kilimo.
Kutana na wataalamu upatiwe majibu ya maswali yako kuhusu kilimo.
 
THE HORTICULTURISTS

Jiunge kwenye kundi letu la whatsap tujadili mada mbali mbali kuhusu kilimo.
Kutana na wataalamu upatiwe majibu ya maswali yako kuhusu kilimo.
Je hilo kundi najiungaje?
 
Nipo Tanga, mbegu nitapata wapi?
Mimi nipo tanga Mjini Sahare ninayo miche ya mbegu fupi ya mipapai ninauza kwa wale wa tanga na maeneo ya karibu nami mche 1 @ shilingi 2,000/= ya miezi sita nipigie kwa yeyote anayehitaji namba 0675434328.
Karibuni wote!
 
Kwa wale walio mkoa wa Tanga mjini Mimi nipo Sahare ninayo miche mbegu fupi ya miezi 6 nauza shilingi 2,000/= kwa mche mmoja kwa mawasiliano namba yangu ni 0675 434328.

Karibuni wote!
 
Walau picha zitaongea sana hapa.
Maswali unaweza kunisms whatsup
0714600575 au sms ya kawaida 0620598113. Usipige tafadhali au labda ukisms nikiruhusu.
 
Bado hujanishawishi kuhusu soko la papai, papai iliyokomaa ikishachumwa inakaa si zaidi ya siku 3 ama 4 inakuwa ishaiva kabisa hasa kwa joto let say la hapa Dar.

Sasa kama umevuna papai 10,000 kwa siku na unategemea local market - lazima yakuozee sokoni...

Soko ni changamoto haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…