Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Mpuuze huyo hana analolijua, Mimi namuombea msamaha kwa niaba yake.
Sijakukatalia hata mstari mmoja wa mashairi yako ,nimekuomba weka picha ya papai zako 1000 na pia nimekusifu kwa kuweza kutumia simu yako ku view shamba lako....sibishani na wewe maana sijahitaji hata Mia yako
 
Mimi kwa uzoefu sio wa kulima la hasha, wakuona na kusikiliza changamoto za wakulima. Nimegundua kuwa wakulima wengi wanalima kilimo cha mwaka 47, kile cha kutegemea mvua basi.
Ndio Maana walio wengi wanakuwa wakulima lakini hakuna mafanikio yoyote zaidi ya kupata hela ya kula.
Na wamefanya kilimo ni kazi nyepesi sana, kiasi kila mtu anaweza kulima akiwa na hela ya kukodi shamba, mbegu, kulima na madawa pamoja na palizi mbili tu.
Kwa mustakabali huo, kweli kilimo kitakuwa hakina tija wala manufaa yoyote, zaidi tutazeeka kabla ya wakati wetu kufika.
 
Acha ujinga, tatizo jf hakuna utakakopata great thinker nimeingia leo huku kwenye kilimo, nakuta sawa na jamvi la siasa. Tubadilike jamani kuna walati tuwe serious mpaka tushangaane sio mazoea tu kila mahala hatutafika.
Nafikiri ujinga unao wewe. mkifahamishwa mnajifanya mnajua. usinitafutie band tafadhali
 
Mpuuze huyo hana analolijua, Mimi namuombea msamaha kwa niaba yake.
huna uzoefu unazungumza nini sasa. anyway kilimo chema cha papai.
FYI mimi sio mkulima wa papai ila ni mkulima na nimepitia changamoto nyingi. tatizo watu huwa mnatafuta sifa humu JF
 
Zikikosa soko si mnakula nyumbani shida iko wapi?
 
huna uzoefu unazungumza nini sasa. anyway kilimo chema cha papai.
FYI mimi sio mkulima wa papai ila ni mkulima na nimepitia changamoto nyingi. tatizo watu huwa mnatafuta sifa humu JF
Unaonaje ukatushirikisha huo uzloefu wako kuhusu kilimo?
 
Habari wakuu.

Nahitaji ushauri wa kilimo cha papai za kisasa. Natarajia kupanda miche 1000+. Eneo langu ni tambarale kwahio kwahio ntainua matuta na nitafanya umwagiliaji wa matone. Nilishalima kidogo miche kama 100 kwahio kidogo nina ufahamu na changamoto zake.

1. Njia ipi nzuri zaidi ya kuotesha mbegu? Kuna ya kuloweka mbegu na kufukia ardhini zikiwa ndani ya pamba na kuzimwagilia kwa kipindi fulani. Nlijaribu hii ya pili na hazikutoka mbegu nyingi sana. Sina uhakika kama njia ya kwanza ndio effective zaidi.

2. Masoko yakoje? Je, changamoto za madalali ni kama za wakulima wa matikiti?

3. Biology ya mpapai ikoje au lifecycle yake? Unachukua muda gani mpaka mmea unaacha kuzaa?

Asante
 
Hongera Mkuu,Naomba nijifunze kwako tafadhali.Mimi pia niko katika harakati za kuanza kilimo hiki.Tafadhali naomba kujua zaidi kutoka kwako japo katika hiyo niche 100 ambayo tayari umelima.
 
Usisahau kuleta mrejesho baada ya kujifunza. yaani unajidhihirisha ni jinsi kani ulivyo mtupu.
anyway sina mda wa kubishana na wapuuzi kama wewe.
Mkuu majivuno hayana tija.Nimesoma comment yako moja unasema wewe kwenye kilimo ni level nyingine na haulimi Papai,Lakini sijui kama umewahi kushare na watu hapa wakanufaika.Huyu pamoja na mapapai yake kaona atumegee ushauri .
Na watu wa jinsi yako unakuta ni majigambo tu hawana lolote.
 
Mkuu majivuno hayana tija.Nimesoma comment yako moja unasema wewe kwenye kilimo ni level nyingine na haulimi Papai,Lakini sijui kama umewahi kushare na watu hapa wakanufaika.Huyu pamoja na mapapai yake kaona atumegee ushauri .
Na watu wa jinsi yako unakuta ni majigambo tu hawana lolote.
hiyo hapo chini ni screenshot nimepiga sasa hivi.
kama ni mtaaalamu utaelewa kuwa si majigambo. itakupasa uwe na akili kubwa kunielewa nilikuwa namaanisha nini kny comments zangu. usikariri si kila mtu mpiga porojo. nenda kwenye uzi wa matikiti utakuta napicha huko pia. ama tafuta uzi wa mahindi.

1569847088587.png
 
Kuna Yale mapapai tunaambiwa mapapai lishe, hebu kama Luna mwenye uelewa wa ulimaji na soko LA mapai lishe atujuze hapa!
 
Kurunzi,
Gharama nyingi sana hujaweka hapa kama vile gharama za usafiri, mafuta kwenye generator, matunzo ya Mashine hizo, vibarua muda wote hadi mavuno, gharama za kutafuta soko na gharama za kupeleka bidhaa sokoni!
 
Mimi ni mkulima wa mapapai ya kisasa mbegu ya Malkia na Carina natafuta masoko ya jumla nipo kibaha Mkoa wa Pwani kwa mawasiliano 0686301689.
 
Back
Top Bottom