Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

Si wataalamu wanadai hizo papai zinadumu zaidi ya wiki sio kama ya kienyeji.
 
Mapapai hayataki maji mengi muwe makini na vipindi vya mvua nyingi huko Kyela!
 
Ukiwekeza zaidi hakikisha una nyingi za kuuzia, mostly wadau waliowekeza sana nimewaona wametumia njia za kulink na madalali na mahotel at the same time, mzigo hufuatwa na wahusika shambani
 
Jamani mimi pia natafuta mbegu za papai (mbegu bora) ili nifulie mwenyewe. Niliambiwa ninunue miche ile gharama ni kubwa. Pia nilitaka nikamue kutoka kwenye papai ila mavuno nimesikia sio kama ya mbegu bora. Tafadhali kama kuna mtu anazo mbegu ama anamfaham mtu mwenye anauza mbegu. Tafadhali ni connect nae.
Natanguliza shukrani.
 
ili nifulie

Hii ni chiboko. Ngo maana yake ni "Kusia". Msameheni
 
umeenda kwene maduka ya kilimo umekosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…