Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Kuna mbegu nyingi zilizofanyiwa utafiti duniani kama F1 Hybrid Taiwan Princess mbegu hii sio genetic kwahiyo inaweza kulimwa nchini na ni nzuri kwasababu shelf time yake ni kubwa kulinganisha na papai zetu za kienyeji na zinaweza kuuuzika nje ya nchi (Ideal for export)
Malila,
Tunaomba habari za kilimo cha mapapai na upatikanaji wa mbegu
Mkuu unatakiwa wewe mwenyewe kufanya Tafiti Huko unako taka kulima make wewe ndo uko huko Kyela, ila kwa ujmula ni kilom kizuri kwa sababu unaweza lima na ku process na kuuza Juice, ingawa hata utonvu wake una soko kubwa sana huko nje, but unatakiwa kuanza kwa kucheki soko huko kyela au Mbaya mjini, Ila Papai hazipendi Baridi kabisa, na that is why zinastawi vizuri maeneo ya pwani, au centra zone na kanda ya ziwa huwa hazitaki kusikia kitu baridi make zenyewe ni rafiki wa joto
mkuu ... papai mbichi inatumika kutengeneza kimeng'enyo cha kulainishia nyama (marination) kwa ajili ya ku roast, grill or fry.... nadhani ukitengeneza local marination product ukaiwekea ndimu ya kienyeji, mbilimbi na embe na ufanya packaging nzuri utauza ....
More important is to keep all ingridients organically cultivated
I wish you all the best
Kuna duka nimeelekezwa Morogoro mjini stand linaitwa kwa KV nimeambiwa hizi mbegu zipo ntapita kuzicheki next week
Naona upo kimya mkuu ila ningekushauri utafute mbegu ambayo inavumilia kupata ugongwa hasa wa virus wanaoitwa rig worms, kama ni kwa biashara tafuta mipapai inayozaa mapapai mengi ili ikupatie mapapai 3 kwa wiki kila mche mmoja i.e 3 papaya per tree assume you have 2000 trees you will have 6000 papaya uza bei ya chini shs 300 kwa papaya moja!
Inapatikana wapi? hiyo mifupi iliyofungashia sijawahi kuiona mimi