Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,042
- 776
nani kakudanganya? cku utasubiria mvua inyeshe...nitaanza kilimo 1 uko naona akuna stress sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kakudanganya? cku utasubiria mvua inyeshe...nitaanza kilimo 1 uko naona akuna stress sana
Mapapai ya kisasa ni 6 months mkuu yale ya kienyeji nadhani ni 9 months
Hivi papai hadi linapovunwa muda gani?
View attachment 184353 kilimo hiki kinalipa, ukipanda vizuri kwa kufata maelekezo, mbegu nzuri zinapatikana Kenya Agriculture Research Institute (KARI) huku kwetu ubabaishaji mwingi, karibuni shambani kwangu muone

Zion Daughter njoo huku uchangie

View attachment 184353 kilimo hiki kinalipa, ukipanda vizuri kwa kufata maelekezo, mbegu nzuri zinapatikana Kenya Agriculture Research Institute (KARI) huku kwetu ubabaishaji mwingi, karibuni shambani kwangu muone
Hizi papai upandaji wake una masharti ya kuzingatia. Mf ni lazima uziloweke ili zianze ku-sprout kabla hujaziweka ardhini. Zangu ndio zimeanza kuota sasa. Nitaleta mrejesho in due time.
Wanashauri siku 3-5 depending na hai ya hewa jasa jjoto zinaanza kufunguka (sprouting) ndani ya muda huo.Unaziloweka kwa muda gani?
Wanashauri siku 3-5 depending na hai ya hewa jasa jjoto zinaanza kufunguka (sprouting) ndani ya muda huo.