Asante Ibravo nawasubili kwa hamu nataka nipate pa kuanzia ukulima bila ujuzi hakuna utakachopataHongera kwa kuliona hilo,subiri watalaam waje watoe darasa la mapapai.
Asante qurious ngoja niende uko, nashuru nduguNenda Facebook kapate maarifa kwa BUNGE LA UCHUMI,,ALBERT NYALUKE SANGA
shamba lako likiwa hivi wewe unakuna kitambi tu
umeona maiye, mimi nina ekari moja nataka nipande mapapai tu, iko sehemu nzuri nina kisima cha maji, ila tatizo langu mbegu bora ikiwezekana kama hizo na namna ya kuzitunzashamba lako likiwa hivi wewe unakuna kitambi tu
Ukishajifunza matunzo na kila kitu nicheki nikupe connection ya mbegu nzuri ya hybrid fupi ya mmpapaiumeona maiye, mimi nina ekari moja nataka nipande mapapai tu, iko sehemu nzuri nina kisima cha maji, ila tatizo langu mbegu bora ikiwezekana kama hizo na namna ya kuzitunza
Nenda ofisi ya WEO, utawakuta afisa ugani, mshirikishe, atakujulisha mengiAsante Ibravo nawasubili kwa hamu nataka nipate pa kuanzia ukulima bila ujuzi hakuna utakachopata
Asante kwa ushauri wako mzuri, uwa wanapitikana wapi hawa maafisaNenda ofisi ya WEO, utawakuta afisa ugani, mshirikishe, atakujulisha mengi
Sawa kiongozi ila nishaanza kuandaa shamba kama uwezekano upo ni bora ukanipa hiyo connection, japo bado sijaivaa sana ila mwelekeo tayari nishaupata nikipata mbegu akili yangu itatuliaUkishajifunza matunzo na kila kitu nicheki nikupe connection ya mbegu nzuri ya hybrid fupi ya mmpapai
Uko mkoa ganiSawa kiongozi ila nishaanza kuandaa shamba kama uwezekano upo ni bora ukanipa hiyo connection, japo bado sijaivaa sana ila mwelekeo tayari nishaupata nikipata mbegu akili yangu itatulia
nipo darUko mkoa gani
Sawa number niza watu wakilimanjaro subiri nije pm tubonge zaidi nikupe gharama zaonipo dar
poaSawa number niza watu wakilimanjaro subiri nije pm tubonge zaidi nikupe gharama zao
poaSawa number niza watu wakilimanjaro subiri nije pm tubonge zaidi nikupe gharama zao
asante sana mapenzi matam, ngoja nimtafute ili niangalie nitanzia wapi0754216666 mcheki huyuu ndo mdau yuko home Tanzania akausaidia kila kitu kuanzia kupanda had kuuza