Lao Tzu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 217
- 336
Huwa najiuliza sana ila sipati jibu, hata nilipoelekezwa nikabisha ila nilipojaribu tatizo likaisha imebaki stori tu.sijawai elewa gunzi linafanyaje kazi unaweza elezea?
Kwa minazi pia km unadondosha matunda huwa wanagonga msumari tu then hayadondoki tena
