Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Tafadhali naomba mawasiliano kwa mwenye uzoefu wa kulima matikiti maji nami nahitaji kulima..taarifa na ujuzi tafadhali
 
Wakulima tuungane, tuelimishane, tutafute masoko pamoja. Whatsapp group 0717269137
 

Mkuu tikiti ni zao la kuvunwa miezi mitatu sawa na siku 90 sio sio siku 60, tango kabegi ndio siku60
 

naomba contact au add me whatsapp number yangu ni 0752 644221 nahitaji msaada Wa kilimo hiki cha matikiti
 
Mimi ninalima matikiti na kesho tarehe 10 ndio ntaanza kupanda shamba la ekari 3.5 ,hivyo natarajia kuvuna mwezi wa 8 mwanzoni kama kila kitu kitaenda sawa,kupeana mawazo na ushauri katika kilimo hichi naombeni mniadd ktk group lenu la watsapp 0654947055,tushauriane kuhusu kilimo na masoko yake
 
Pls ni add Kwa no 0755165001 kwenye kilimo cha matikiti whatsapp
 
Habar. Me naitwa Azizi horticulturist naomba kujiunga na group ya watsap katka kilimo cha tikiti no zang Ni 0714422018 asanten Sana ktk kilimo biashara
 
Wakuu habarini...
Hope wote ni wazima. Mimi nipo Songea. Je ninaweza nikalima matikitimaji na yakakubali vizuri?

Kama sio, naomba ushauri (kutokana na hali ya hewa ya huku)ni matunda gani naweza nikalima.
Ahsanteni.

NB;Kilimo nitafanya kwa nguvu zangu mwenyewe japo nianze na hekari moja.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu thread hii ya kilimo cha matikiti maji,kwa kweli nimefurahishwa sana na uchangiaji wa mada.hii ukiifuatilia inaweza kabisa kukuhamisha kutoka kweny hali uliyonayo ya kifikra na hatimaye ya kiuchumi ukifanya kwa vitendo.

Japokuwa awali kabisa nilikuwa na wazo hili lakini sikuwa najua mengi kama ambavyo najua sasa baada ya kupita humu. Nawapa pongezi sana wadau humu ndani kwa mapenzi ya dhati mliyonayo ya kuthubutu kukwamuana kimawazo,fikra na kiuchumi.

MUNGU awazidishe sana ktk kuwabariki.
 

Umepotelea wapi mkuu? bado unaendelea na kulima?
 
wadau mimi natafuta wataalam wa ku design a simple drip irrigation system kwaajili ya kilimo cha tikiti. kama kuna mtu ana namba za wahusika plz niPM

Nunua vifaa vinauzwa utafunga mwenyewe
 
Drip lines zinauzwa kwa roller hapo unacalculate urefu wa jumla wa linezote pia utakata mwenyewe kulingana na shamba lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…