Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Karbuni kilombero kwa wakulima haswa!!!!!!!!!!!!!

Nimeona ni nyanya,
ninamaswali kadhaa naomba unijibu tafadhali kwani nikonjiani kuoda vifaa vya umwagiliaji

1)hicho kipindi ulipopiga picha mvua ilikua imenyesha? au ni maji ya umwagiliaji

2)anatumia ainagani ya kumwagilia drip au, sababu naona hiyo mipira ni ile mikubwa

3)umbali wa tuta hadi tuta ni kiasi gani?

4)anapanda mistari mingapi ktk tuta moja

5)kama ni drip irrigation anatumia drip line zenye spacing ipi? pia kapanda spacing ipi?

6)hiyo staking kunakamba mbili yimepita? yaani huku na huku na kuweka mche katikati au?

7)kama anatumia drip irigation anamiche mingapi na tank lake linaujazo wa lita ngapi? likijaa anayatumia mara ngapi,
nashukuru kama utanijibu
 
Swali kwenu hivi hayo matikiti maji yanachukua mda gani kulima had hatua ya kuvuna na kumfikia mlaji kutoka shambani
 
Mkuku
ninamaswali kadhaa naomba unijibu
tafadhali kwani nikonjiani kuoda vifaa
vya umwagiliaji,
1)hicho kipindi ulipopiga picha mvua
ilikua imenyesha? au ni maji ya umwagiliaji
2)anatumia ainagani ya kumwagilia drip
au, sababu naona hiyo mipira ni ile
mikubwa
3)umbali wa tuta hadi tuta ni kiasi gani?
4)anapanda mistari mingapi ktk tuta moja
5)kama ni drip irrigation anatumia drip
line zenye spacing ipi? pia kapanda
spacing ipi?
6)hiyo staking kunakamba mbili
yimepita? yaani huku na huku na kuweka mche katikati au?
7)kama anatumia drip irigation anamiche
mingapi na tank lake linaujazo wa lita
ngapi? likijaa anayatumia mara ngapi,
nashukuru kama utanijibu
 
Last edited by a moderator:
Mbona mimi nipo mwanza lakini ni nimekosa soko. Mtu anakuja shambani anataka anunue kwa sh 800 kwa tikiti moja wakati ni makubwa kuanzia kilo 5 mpaka 12.
 
Ungekua una pc 6000 wateja wapo kenya wao wanaijia kabisa
 
hongera kwa hatua uliyoipiga! hayo matunda 900 ni machache mdogo wangu! ungekuwa unaomba usaidiwe kutafuta soko kwa matunda 9000000 ingekuwa sawa,hata hivyo kabla ya kulima ulipaswa uandae mpango kazi kuonesha hatua zote ikiwemo soko.

USHAURI WANGU; TAFUTA SEHEMU/SITE KAMA MBILI AU TATU HALAFU YAGAWE HAYO MATUNDA KATIKA RATIO 2 AU 3 ZILIZO SAWA, WEKA VIJANA WAAMINIFU WAKUUZIE MZIGO.
 

Huu utapeli kabisa, vipi ww nduguzako wote wana kazi? hata majirani? ww je ushatajirika? nijibu ili niamue naweza kutafuta
 
wenzangu mmeshakuwa added kwenye ilo group? mana mie nimeomba ni mwezi sasa hakuna majibu..
 
habari ndugu zangu,
mimi ni mjasiriamali ninahitaji ushauri kutoka kwenu wazoefu wa kilimo,nina eneo la ekari 50 eneo la kisarawe nahitaji kuanza kilimo ,je ni zao gani kwa ushauri wenu naweza kulima nikafaidika?naomba sana ushauri wenu sababu mm ni mgeni kwenye sekta hii ya kilimo
 
Nina matikiti maji ( sugar baby)
Acre moja na kidogo
Natafuta masoko nipo nzega

Mwenye taarifa za masoko pls
Yameshakomaa
 
Hayo matiki ya shs 500 wapi huko? njoo ufaidike zenji (zingatia gharama za usafiri) huku kipande cha unene wa nchi mbili shs 500 ,a good sized one run to2500-3500 na kuna kipindi yana fika mpaka 6000 moja.
kuna yale ya mistari ndio yanapendwa zaidi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…