Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Mimi nina kisima cha pump ya umeme ninataka kutumia mpira hoose pipe. Kumwagilia heka moja nitakuwa sawa?
 
ameeleza vizuri HESABU KALI nadhani nami ningekueleza hivyo, na muhimu hapo ni maji tu iwe mashine,pump au ndoo kwa hivyo ni sawa tu kwa hicho kisima
 
Asante kwa ushauri mkuu....umenifungua macho
 
Ok nashukuru.

Pia nahitaji maelezo ya kina kwenye upandaji maana Mimi tayari nimeshanunua mbegu aina ya Juliana (Hybrid), mbolea DAP, Yaramila, Easygrower, Farmguard, Booster, Poly-Feed Starter na Bomba la kunyunyizia dawa.

Sasa nahitaji kujua jinsi ya kupanda spacing, uchimbaji vishimo na kuchanganya mbolea na kadhalika.
 
Me nngependa kujua ekari moja unaweza kutumia sh ngap kuanzia mwanzo yaan uandaaji wa shamba had mavuno,am interested ktk hk kilimo, najipanga
 
Naomba msaada kuhusu kilimo cha Matikiti Maji (Watermelon) kwa kuzingatia maeneo yafuatayo:-

- Mbegu
- Upatikanaji wa mbegu
- Upandaji
- Aina ya mbolea
- Madawa
- Magonjwa
- Uvunaji
- Uuzaji
- Faida ya kilimo cha Matikiti

Nadhani hiyo itasaidia zaidi!
 
Naomba mada hii kuhusu kilimo cha Matikiti Maji (Watermelon) ijibiwe kwa mtiririko huu:-
- Mbegu
- Upatikanaji wa mbegu
- Upandaji
- Aina ya mbolea
- Madawa
- Magonjwa
- Uvunaji
- Uuzaji
- Faida ya kilimo cha Matikiti
Nadhani hiyo itasaidia zaidi!
 
nimeshauza mkuu ila nilipata hasara.
ndugu kilimo kinaitaji timing na kufuata taratibu zake zote, pia kua makini na madalali hawa wanaletaga presha zisizo na msingi, hawajui ugumu wa kazi ulivyo na gharama zake wao wanachojua ni kupiga faida tu kuijanjaujanja.

Usife moyo Mungu atakupigania, hayo ndio majaribu, jipange upya nenda kwa step utatoka, Mungu akutangulie
 
nipo hapa mm nafanyia kibada mwasonga huku kigamboni
 
Hivi haya ya kisasa yana nini zaidi? Maana naona kama wakulima wanaachana na matikiti ya asili
 
kuna maji huko hakufai jumanne ya 26 April nimeenda kuna mabonde ya maji na barabara imekuwa kama mt o
 
Ndo maana watanzania hatuendelei,kila kitu peaa kweli hata kwa masuala ya kiuchu namna hii kuungwa mnataka pesa ,nani kawaloga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…