Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Matikiti soko lake linaelekea kuwa dhaifu na lenye faida ndogo sana kwa wahusika.

Hebu jaribu kufuatilia kilimo cha mananasi.
 
Tikiti unaisafirisha popote pale cha msingi ujue jinsi ya kuzipakia
 
Samahanini wanajukwaa ,nna mzigo wamatikiti hapa dar,naombeni ushauri wa masoko.Asantheni.
 
Naomba kukuliza. Kabla ya kupanda mbegu za tikiti ni lazima kuziloweka kwa muda? Kama kweli nikwamuda gani?
 
Naomba nikuulize swali. Kuna haja ya kuloweka mbegu za tikiti maji kabla ya kuzipanda shambani?
 
Nilicopy hiyo habari na kuileta hapa kwa msaada tu ili wakulima wafaidi. Sikumbuki kwa leo kama Baba aliloweka au alipanda moja kwa moja. Ila nadhani alipanda moja kwa moja. Hiyo ilikuwa zaidi ya miaka 30 iloyopita na leo hii nimesahau.
Nategemea kuna Wajuzi watakupa jibu.

Naomba nikuulize swali. Kuna haja ya kuloweka mbegu za tikiti maji kabla ya kuzipanda shambani?
 
Habari wadau nilete mrejesho kwanza.nimefanikiwa kupata ardhi maeneo ya kongowe ya kibaha .niaa ni kulima tunda jamii ya tikiti.

Nimesitisha zoez kwasabab ya hii mvua.ila wadau ninapata changamoto ,kwanza am fresh from school hivyo Nina mtaji tu na sina kipato kingniee tegemezi.

Sasa walio nitangulia kwenye kilimo wananishauri nisilime bali niwe middle man yani niwe nachukua zao kwa mkulima na kulipeleka sokoni kwa madalali kuuza.

Hii ndio changamoto niikumbayo kwa Sasa, dhumuni langu nikujiajilii. NAOMBENI MAWAZO YENU WADAU KTK HILI
 
Yan bora uwe middle man km ukifanya research ukaona itakulipa, kulima matikit!!?? Sikushaur,
 
Bro hujajibiwa hii thread yako cz umeleta swaga za kihaya which is too bad
 
Ndugu yangu kilimo cha mazao ya mboga mboga na matunda kama hayo ni mjaaliwa ya mwenyezi Mungu na timing vinginevyo unalia hivi hivi, Kinahitaji ujasili wa hali ya juu na usiwe na BP
 
Usitumie generator badala yake tumia solar
 
Naombeni msaada wana jf mm ni kijana npo sumbawanga nataman sana kujikwamua kimaisha so nilitaka nilime tikiti naomben ufafanuzi juu ya kilimo hiki ikiwa ni pamoja na changamoto za kilimo hiki pia ni wakati gani mzuri kilimo hiki kinalipa na ni muda gani mpaka kuvuna na soko lake liko VP?

Msaada wenu wadau sina uelewa kbs juu ya kilimo hiki
 

Ni pm tufanye biashara
 
Naomba kukuliza. Kabla ya kupanda mbegu za tikiti ni lazima kuziloweka kwa muda? Kama kweli nikwamuda gani?

Yes unaweza, ziloweke kwa Masaa 12 tokea 12 asubuhi mpaka 12 jion, halafu zianike mpaka asubuhi wakati Wa kupanda.
 
Kuna yeyote alishawahi kuijaribu njia hii tafadhali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…