Naomba mchanganuo na mimi kwenye pmassawe11@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitafuteMimi ni mhitimu wa chuo kikuu , baada ya kumaliza masomo yangu nina plan ya kujishugulisha na kilimo hususani kilimo cha matunda yaitwayo MATIKITI MAJI. Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu , anisaidie mbinu za kuendesha kilimo hicho ili kiweze kuwa profitable.
Hadi sasa nina mtaji wa laki 5
Naomba kuwasilisha
inategemea umepanga kuendeshea hicho kilimo sehemu gani" na unaweka mfanya kazi au kazi zote unafanya mwenyewe mwanzo hadi mwisho wa kuvuna!Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu , baada ya kumaliza masomo yangu nina plan ya kujishugulisha na kilimo hususani kilimo cha matunda yaitwayo MATIKITI MAJI. Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu , anisaidie mbinu za kuendesha kilimo hicho ili kiweze kuwa profitable.
Hadi sasa nina mtaji wa laki 5
Naomba kuwasilisha
watanzania tunaongea sana,nilichojifunza ni unahitaji ianzishwe app ya kuuzia mazao,changamoto ni wakulima na wanunuzi hawako automated hata akaunti facebook hawana ukiacha chini whatsup.hili bado linasubiri masihawakulima wa Tanzania let be creative ina finding our own ways of marketing our products kwa nn tutugeme madalali au kuza bidhaa ulizo zisotea kwa nn uzee jumla
unakuta mtu umesoma marketing umefanikiwa kulima kiji heka mmoja lakini una shindwa kukaa na kuanda namna yakuzaa mazao yako unategemea dalali au kuza kwa jumla..."Be a change" tulete wakulima namna mpya kuza bidha zetu
sio kila mtu ana kimbilia madalali mwingine utaskia packaging mwingine utaskia kusindika haya yote tumesha yasikia for more than 20 yrs sasa kuna walio fanikiwa lakin sio wote tumeweza fanikiwa
what next kwa nn tunawapa madalali nguvu kwa nn ulime kwa tabu uje uze be ya chini kisa dalali au kuza jumla kweli upeo wetu wa kufikiri njia mpya ndio imegota hapo
watu wa IT tumesha choka na app za kutufundisha sasa tunaitaji app na software za kuuza mazao yetu hapa ndipo kunatatizo Mbona kenya wana fanikiwa tunshindwa kweli kuiga kwao.. kuna youtube unaweza jifunza njia mbadala za kuzaa mazao yako.
kuna Bar ngapi za mazao tanzania kama ile ya Tomoni farms pale victoria(Green acres house) nilisoma mahali mahojiana ya mmiliki wa ile bishara jama pale ana uzaa bidha kutoka shambani mwake... kwa nn tusiwe na bar nyingi kama zile
Una uza matunda kwa nn usi fungue kijisehemu chako cha kutengeneza smoothies za matunda uanyo lima nani hataki juice natural???
wakulima wangapi wa mjini mesha fatilia procedure za kuuza mazao njee ya nchi wangapi wamesha tembelea Wfp hata kujaribu kujua procedure zao za kununua bidhaa za wakulima zikoje
Tusiwe hivi waKulima wa Tanzania .
Be a change else madalali watatumiza daily.
Agiza kupitia e bayHi Mtanganyika. Mimi nilikuja huko kushangaa mwaka 2005 nilikuwa Florida na ni mpenzi wa matikiti maji. Kufika huko nikakuta mazuri na makubwa nikataka kuchukua mbegu (ilikuwa kwenye kama gulio, wanaita fleas(?) market. Jamaa akanichimba mkwara kuwa ni marufuku kuvusha kwenda popote pale. Na uwanja wa ndege pia waliniuliza kama kuna mtu kanipa pesa ama kitu kingine chochote niwapelekee jamaa zake nyumbani. Hivyo kama ukiweza toka nazo nifahamishe kwa PM
Nyati
Salam kwenu wajumbe!
Nataka nijaribu kolimo cha matikiti nipo Dar, naomba kufahamishwa taratibu zake, gharama zake,changamoto zake, na faida ninayoweza kuipata. Asanteni wana jamii!
Mkuu mbegu ipi ya vitunguu inafaa kupandwa wakati huuNgoja waje mkuu. Mimi ni mkulima wa vitunguu maji.
Mkuu mbegu ipi ya vitunguu inafaa kupandwa wakati huu
Singida mkuuMimi nalimia rujewa, wewe unataka Lima wapi ? Rujewa sasahivi tunatoa , kupanda ni mwezi wa pili tena. Vitunguu na mvua haviendani siyo kwa kupanda wala kuvuna. Mbegu yenye soko LA mnato na bora ni kitunguu chekundu.
More info twende kando...
Kuwa makini na fanya jotohada za kusoma vya kutosha hakikisha umelifahamu vyema na stage zake zote kuna mzee niliejifunza kwake alilima mara ya kwanza akapiga mil3.5 mara ya pili akalima tena akapiga elfu8, mie mara ya mwanza nililima ekari2 nkapata matikiti 8 tu nkaenda jifunza mara ya pili nkafanya vyema so kabla haujaanza kulima soma kwanza ujue siku ya ngapi ufanye nini uweke mbolea gani na maji upige kwa mfumo gani na mara ngapi kwa wiki.Salam kwenu wajumbe!
Nataka nijaribu kolimo cha matikiti nipo Dar, naomba kufahamishwa taratibu zake, gharama zake,changamoto zake, na faida ninayoweza kuipata. Asanteni wana jamii!