Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Jamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
 
Jamani natafuta mteja wa tikiti nimelima hekari moja zitafikisha siku 90 katikati ya huu mwezi (sept). Nimelima runzewe,geita
Nakushauri anzisha uzi wako kama tangazo hivi; ili watu wote waweze kuona tangazo lako ... maana hapa wengi tunaosoma ni wafatiliaji wa hii thread tu



RN Jr
 
Duu jomba iyo kilimo hacha kabisaa me nililima zebra f1 na juliana F1 kilichonikuta Nungu ndo anajua kidogo nikimbie mji mpaka leo nmeishiwa kila kitu kwenye biashara zangu na bado nadaiwa mkopo mkuu usipeleke hela ya mkopo shambani utafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo kina faida na hasar niliuza viwanj kulima tikit mwaka huu mwez wa kwanza ila nilirowesha ekar mbil na gharama zilizo tumika km mil 3 LAK 4 na sikupata kitu na mwez wa tano nkalima yakaivia kwenye mafuriko nimeuza buku kwa jero hatari.

Na sijakata tamaa nshaanda shamba nshalima nataka kueka samad tareh 15 mwez huu napnda et
 
Wana jamii mi nadhan kama kuna mtu yeyote amejiunga na ma group ya kilimo wats ap ani add kwa namba hii 0717113999 na kama hamna vp kama tutaanzisha group itakua rahs zaid kusaidiana na kupata changamoto na mafunzo meng zaid kwa haraka kuliko hapa.

Ni ushaur tu wanajamii
 
Keep it up, pambana mwanzo mwisho. Mbona umetumia gharama kubwa ivo...?
 
Wazo zur Mimi naanzisha na wewe sawa watakao penda pia watufuate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…