Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Guys naomben kujua soko la uhakika nimelima ekar 3 kwa gharama kubwa sana nategemea kutoa mwezi wa 9 ..

Kama una mnunuzi wa uhakika kwa bei nzuri naomba uni dm number pls pls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa naomba kuuliza, niliwahi sikia kila mche unatakiwa kuruhusu matunda matatu tu na unatakiwa kukata mbele ili mche usiendelee tutoa matawi. Je, kuna ukweli wowote na kama usipofanya hivyo madhara yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa naomba kuuliza, niliwahi sikia kila mche unatakiwa kuruhusu matunda matatu tu na unatakiwa kukata mbele ili mche usiendelee tutoa matawi. Je, kuna ukweli wowote na kama usipofanya hivyo madhara yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mche mmoja unaweza ukatoa matunda mengi tu kuanzia 2 nakuendelea, lkn sio lazima ukate mbele lkn kitaalamu wanashauri ivyo ili upate matunda machache mwa mmea yenye ukubwa mzuri na muonekano bora kwasababu unapokata mmea ukiwa na matunda ma3 au 2 utasaidia matunda hayo mupata virutubisho kwa wingi kutoka mbolea uitumiayo pamoja na maji maana mmea utapokea chakula kingi na kukisambaza kwenye matunda machache kuliko ikiwa na matunda mengi na yote yanahitaji virutubisho hivyo.

Hivyo usababisha matunda kutokuwa makubwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa MKUU yaan sukar ni bata tupu et lakin tajarbug na mbeg zngne ala hiv wakat wa joto sukar usumbua sana et au ni MBEGU zote za tikit zinasumbua wakt wa joto na je ni UPI mwarubani wake maan hainenepi na inakuwa na maumbo mabaya je wakat huu inatakiwa tufanyaje ktk ulimaj wa tikit et

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunda linakua na shape mbaya kwasababu kuna virutubisho linakosa mwanzon mwa ukuaji wake na si sababu ya mbegu. Pia tikiti linapenda joto ili linenepe na kuiva haraka lkn ukiwa unamwagilia vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mche mmoja unaweza ukatoa matunda mengi tu kuanzia 2 nakuendelea, lkn sio lazima ukate mbele lkn kitaalamu wanashauri ivyo ili upate matunda machache mwa mmea yenye ukubwa mzuri na muonekano bora kwasababu unapokata mmea ukiwa na matunda ma3 au 2 utasaidia matunda hayo mupata virutubisho kwa wingi kutoka mbolea uitumiayo pamoja na maji maana mmea utapokea chakula kingi na kukisambaza kwenye matunda machache kuliko ikiwa na matunda mengi na yote yanahitaji virutubisho hivyo. Hivyo usababisha matunda kutokuwa makubwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana, kwa hiyo ninaweza kukata mmea kwa mbele ili usitoe matawi au nikate matunda yanayoongezeka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom