Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

easeeed sukari f1 huvumilia magonjwa na muda wa kuvuna ni cku 60-70

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa MKUU yaan sukar ni bata tupu et lakin tajarbug na mbeg zngne ala hiv wakat wa joto sukar usumbua sana et au ni MBEGU zote za tikit zinasumbua wakt wa joto na je ni UPI mwarubani wake maan hainenepi na inakuwa na maumbo mabaya je wakat huu inatakiwa tufanyaje ktk ulimaj wa tikit et

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mulching fanya kama haitakugharimu sana hapo ulipo.. . Maana inasaidia kutunza unyevu ukizingatia hiki kiangazi.... but kwa shamba kubwa ivo mbona mtihani sana??

Sent using Jamii Forums mobile app
Oh sawa kwa keni nikimwagia shimo Tatu si mbaya et lakini pia ni muda gani tikit linahtaj maj muda gani halihitaji mwaj mengi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Oh sawa kwa keni nikimwagia shimo Tatu si mbaya et lakini pia ni muda gani tikit linahtaj maj muda gani halihitaji mwaj mengi

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Matikiti yanahitaji maji ya kutosheleza wakat wa wiki za mwanzo,, yanahitaji maji mengi wakati wa kukua kwa matunda ili yawe makubwa hadi kama kufikia siku 60 hivi,then yanahitaji maji kidogo mwishoni ili yakomae na yasipasuke....

RN Jr
 
Back
Top Bottom