Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Muda wa kuvuna ni siku ngap 70 au 90 na SOKO lake vip

Sent using Jamii Forums mobile app
Soko lake ni guaranteed .... ni mazuri ... ila fanya utafiti wa mbegu zote hizo kabla hujaamua kubadili mbegu uliyozoea

Picha hiyo lilikuwa na siku 60 tangu kupandwa
IMG_20170414_115132.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20170414_115132.jpg
IMG_20170414_115027.jpg
 
Nasikia Yale matikiti madogo meusi yana soko kubwa kiwandani kama pale Azam, kilo 1 wananunua 2500.
ni kweli?
 
Athante je ulilima gram ngap 250g au 500g na je uliuzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nililima gramu 160 nikaongeza 60gm kumalizia shamba... niliuza Dom mkuu...... ila kwa ujumla Balton inachelewa kidogo, ingawa hazifiki siku 90 kamili... ila ukiyatunza vizuri ukubwa wa matunda yake unaridhisha [emoji6]... japo nilipata changamoto ya kuzaa matunda machache kwa kila mche... mingi yalikuwa mawili au moja...

Mie hulima 750g haya nililowesha mvua ilinizidia badae nkaogopa nkapanda 250g nimevuna mwez huu nataka kupanda 1000g nkauzie dar au dom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada mie ni mkulima niliezoea kulima MBEGU ya sukari f 1
Sasa naambiwa kuna zingine zinaz Fanya vizur kwa ukubwa na rang nzur kama sugar queen,,
Balton f1
King sugar
Pato f1
Na zinginezo je ukwer ni UPI IP ni MBEGU nzur inayokwa na matokeo bora kwa matunda yake natanguriza shukrani ndg zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sukari f1 hii ni habari nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom