King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
10 to 15 tons per hectare according to the sites hapo chini angalia kwa more details.., kuhusu mangapi inategemea na aina matikiti, mbegu inayozaa mengi per plant yanakuwa madogo ukitaka yawe makubwa basi ni machache per plant.., kupata kumi per one plant nadhani inawezekana ila size yake itakuwa ndogo ndogo (kumbuka ili izae vizuri yanahitaji kuwa polinated sababu sio self polinating plant kwahio kama kuna nyuki karibu its better for you)
Watermelon Production Guide - TheFilipinoEntrepreneur.Com
http://pods.dasnr.okstate.edu/docushare/dsweb/Get/Document-1110/F-6236web.pdf
10 to 15 tons per hectare according to the sites hapo chini angalia kwa more details.., kuhusu mangapi inategemea na aina matikiti, mbegu inayozaa mengi per plant yanakuwa madogo ukitaka yawe makubwa basi ni machache per plant.., kupata kumi per one plant nadhani inawezekana ila size yake itakuwa ndogo ndogo (kumbuka ili izae vizuri yanahitaji kuwa polinated sababu sio self polinating plant kwahio kama kuna nyuki karibu its better for you)
Watermelon Production Guide - TheFilipinoEntrepreneur.Com
http://pods.dasnr.okstate.edu/docushare/dsweb/Get/Document-1110/F-6236web.pdf
kila kitu kipo kwenye hizo link, hadi magonjwa na jinsi ya kupanda na nafasi za kuacha na preferable conditions.Kwa mtu wa TZ...ungemsaidia zaidi
kwa kusema mbegu hizo zinapatikana wapi?
kwa TZ na afanyaje kwa vitendo kuliko kutoa link.....
Unapima kwa kipimo gani? Unahesabu ama unajaza canter?
Wakuu,
Kama kuna mtu jamvini anafanya kilimo cha matikiti maji au pilipili hoho kwa biashara (sio kama bustani) naomba ani PM.
Natanguliza shukrani.
mkuu cjakupata hapo kwenye lugha ya mwanamke...tufafanulie tafadhari.:yawn:
Mkuu mimi niko hapa Dodoma nadhani itanifaa, vipi naweza kuipata tuwasiliane?Ninayo business plan ya kilimo cha water melon!.. Ila iko planed zaidi kwa infrastructure za Dodoma cjui kama itakufaa!..
Unataka nini tukusaidie?
Ningependa kufanya kilimo tajwa hapo juu kwa biashara. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza, hivyo bado nina mambo mengi ya kujua kuanzia maeneo yanapostawi (hayo mazao), hali ya soko, usimamizi na changamoto nyinginezo zinazoambatana na kkilimo husika pamoja na kudevelop a full business plan.
Kwa ufupi, ningependa kama ingewezekana tukakutana ana kwa ana kwa mazungumzo ili niweze kufanya maamuzi ndani ya muda mfupi zaidi, pamoja na kutumbelea shamba na kujifunza zaidi.
Ni hivyo kwa kifupi mkuu.
Ok, poa.
Mimi nildhani una soko au unahitaji mzigo ili niwapatie mtaji madogo walime wakuuzie?
yule mama wa visiwani gret britein ndo mmiliki halali wa hiyo lugha.
anyway, nimefuatilia link hapo juu kweli imekuwa msaada sana kwangu. nadhani mchango uliotolewa ni mzuri sana tu, kwa kuanzia mimi nataka kuingia nizalishe matunda haya kwa miezi miwili ili kuinua mtaji.
changamoto hapa kwa sasa ni upatikanaji wa shamba kwa maeneo ya pwani na morogoro. nahitaji shamba la kukodi kwanza nipige hekari walau tatu, niione milioni 9 yangu ndani ya 2months!
kwa anayejua gharama za kukodishia shamba maeneo niliyoyataja tafadhari anisaidie hapa wakuu ili tujikwamue sote
Naweza kukukodisha eka moja kwa Tsh 60,000/ unanilipa kabla, shamba lipo Pwani ya Mkuranga, maji yapo mengi sana, banda la kuishi kijana lipo. Unaweza pata eka hata 15 zilizo kando ya maji ya kudumu.yule mama wa visiwani gret britein ndo mmiliki halali wa hiyo lugha.anyway, nimefuatilia link hapo juu kweli imekuwa msaada sana kwangu. nadhani mchango uliotolewa ni mzuri sana tu, kwa kuanzia mimi nataka kuingia nizalishe matunda haya kwa miezi miwili ili kuinua mtaji.changamoto hapa kwa sasa ni upatikanaji wa shamba kwa maeneo ya pwani na morogoro. nahitaji shamba la kukodi kwanza nipige hekari walau tatu, niione milioni 9 yangu ndani ya 2months! kwa anayejua gharama za kukodishia shamba maeneo niliyoyataja tafadhari anisaidie hapa wakuu ili tujikwamue sote