Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Tuko busy na kusaka wadhamini unaleta mambo yako ya matikiti maji hapa
 
naomba kuunganishwa watsup na mimi katika kilimo hiki namba yangu ni 0715244135
 
Kwa wanao hitaji drip irrigation na green houses contact us 0655 939496/0783 138113
Or 0673 909769
 
Na mm pia naomba kuunganishwa whatsapp kilimo cha matikiti, namb yang 0716237123
 
Jamani habarini za wkend.., naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?

Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi kwa matikiti maji, unavunwa mara ngapi na kwa kipindi/interval gani?

Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali.

Huvunwa mara moja,ingawa uvunaji utaachana kwa siku 7 hadi 14. yaani baada ya kukomaa unavuna na shina halizai tena
 
Habari za muda huu wanajamii.

Namshukuru Mungu kwa kunitia nguvu,akili na afya. Nimebahatika kununua shamba katika mkoa wa Morogoro. Nataka kuanza kilimo cha matikiti maji. Wanajamii naomba kama kuna mtu anafahamu vizuri juu ya kilimo cha matikiti maji.
Naomba kujulishwa juu ya:
a) Msimu wa kulima
b) Aina za mbegu na gharama zake
c)Ekari 1 inahitoa shina ngapi.
d)Faida zake na masoko.
e)Madawa yake
f)Changamoto zake n.k

Kama kuna mtaalamu naomba mawasiliano naye.
Natanguliza shukran za dhati wakuu..
 
ngoja kwanza nifturu... ntakujulisha mengi kuhusu hicho kilimo... Nina uzoefu nacho sana tu
 
Kilimo cha tikiti maji (water melon)

HALI YA HEWA.:
mimea hustawi katika maeneo yenye joto la wastani (haihimili hali ya joto Kali sana wala baridi sana), wala haihitaji mvua nyingi. na hata udongo unaotuamisha maji.

zao hili hustawi vizuri maeneo yenye joto la 21-30 centigrade, yakipandwa kwenye maeneo yenye joto chini ya 15c huchelewa kuota.
mvua inayohitajika kwenye zao hili ni 400-600mm/msimu.

Maeneo yanayofaa kwa kilimo hiki Tanzania ni Tanga,morogoro, Dsm,mtwara, lindi na pwani. ambako kuna jua la kutosha.

UANDAAJI WA SHAMBA
Unashauriwa kusafisha vizuri shamba lako na kutibua udongo vizuri ili kurahisisha mizizi kupenyeza kwa urahisi kwenye udongo pia kutunza maji.

UPANDAJI
tikiti hupandwa moja kwa moja kwenye shamba.hauruhusiwi kuoteshea mbegu kwenye kitalu kwa maana mmea huu hauna mizizi ya kustahimili kuhamishwa.., piga mashimo kwa umbali wa mita 1 shimo hadi shimo na mita 2 mstari hadi mstari., panda mbegu 2-3 ila uje upinguzie na kuacha mimea 2 tu,

UWEKAJI MBOLEA
weka mbolea aina ya NPK au DAP wakati mimea inapokua midogo kwa wastani wa gram 10-20 kwa shimo, utaweka mbolea kila wiki Mara 1-2 hadi pale mmea utakapoanza kutoa maua jike ambapo utabadilisha mbolea na kutumia mbolea aina ya urea kwa wiki Mara moja.

UMWAGILIAJI
usimwagilie matikiti muda wa jion kwan utapelekea unyevu kudum kwa muda mrefu na hatimaye kurahisisha magonjwa.

WADUDU NA MAGONJWA
wadudu aina ya green peal aphids hushambulia sana zao hili, hupenda kujishkiza sehem ya chini ya jani na kuathili majani, utaona majani yanajikunja kabisa.ni vijidudu vidogo mfano wa utitiri., utakapoona vimeanza kushambulia wahi mapema kunyunyizia dawa aina ya Multimectin au Atakan Au hata farmguard, dawa hizi ndio hunesha ufanisi mzuri kuwaangamiza wadudu hawa kwa haraka .ila pia ni bora kupiga sumu ya wadudu kati ya izo apo juu kwa kila wiki walau Mara moja ili kuzuia wadudu .,

UKUNGU
ni ugojwa ambao hushambulia zao hili hasa wakati wa mvua au Baridi, utapiga dawa aina ya mancozeb au blue copper au nyingine yoyote ya ukungu, pia ni vema kupiga dawa ya ukungu kwa kila wk Mara moja ili kuzuiya tatizo hili.

sory: kwa eka moja utatumia mbegu gram 200 hadi 300, mbegu inayoshauriwa now zile za hybrid (f1), ni zile za zebra na nyingine ni kama kombati, aina Hz ndio zinapendwa sana na wateja, ..

tikiti huchukua miezi 2 -2.5 tangu kupanda hadi kuvuna.

MAVUNO
ikihudumiwa vizuri inaweza kutoa tani 10-14 kwa ekari moja,
tikiti huuzwa kwa kilo ambapo kilo moja huuzwa kati ya 250-400 kwa bei ya shambani........
kama utakua na swali waweza uliza ....
 
kaka shukrani sana. naweza kupata mawasiliano yako?
 
Ukiweza pandia samadi ya kuku joumer kisha ulete mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wajasiriamali wanaopenda kubadikishana mawazo kwa mtandao Wa whatsapp group tuwasiliane 0762600100
 
Habari za muda huu wanajamii.

Namshukuru Mungu kwa kunitia nguvu,akili na afya. Nimebahatika kununua shamba katika mkoa wa Morogoro. Nataka kuanza kilimo cha matikiti maji. Wanajamii naomba kama kuna mtu anafahamu vizuri juu ya kilimo cha matikiti maji.
Naomba kujulishwa juu ya:
a) Msimu wa kulima
b) Aina za mbegu na gharama zake
c)Ekari 1 inahitoa shina ngapi.
d)Faida zake na masoko.
e)Madawa yake
f)Changamoto zake n.k

Kama kuna mtaalamu naomba mawasiliano naye.
Natanguliza shukran za dhati wakuu..

Ni check 0673 90 97 69
 
Wakuu habarini...
Hope wote ni wazima...Mimi nipo Songea..Je ninaweza nikalima matikitimaji na yakakubali vizuri?
Kama sio, naomba ushauri (kutokana na hali ya hewa ya huku)ni matunda gani naweza nikalima.
Ahsanteni.
NB;Kilimo nitafanya kwa nguvu zangu mwenyewe japo nianze na hekari moja.

Songea mbona yanakubali sana mimi nilikuwa nalima Msamala. Nenda pale nyuma ya ofisi za ccm mkoa utakuta maduka ya pembe jeo kwa ushauri zaidi.
 
Ahsante mkuu...
Niliamua kuulizia hukuhuku nikapata ushauri kutoka kwa mkulima mmoja wa Peramiho.
Na sasa naandaa shamba Peramiho.
 
Back
Top Bottom