Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Mbona mimi nipo mwanza lakini ni nimekosa soko. Mtu anakuja shambani anataka anunue kwa sh 800 kwa tikiti moja wakati ni makubwa kuanzia kilo 5 mpaka 12.
Zenji hayo yanaanziz 3500 rejareja sijui gharama za usafiri na kipande shs 500 ningekuwa najua ku upload ninge tupia kapicha cha kipande cha mia tano ukione kamahujakodi sealink utuletee mitikiti yako babu nene ya kilo 5!
 
Mada nzuriiiiiiii Hiki kilimo ni kizuri sanaaaaaa je.. maji chumvi ya kisima yanafaa. Nina kisima na ninataka kulima zao hili.
 
jamani kwa waliolima tunaomba mrejesho basi ili na sisi wengine tupate insight
 
Habari wakuu? Naomba kujuzwa ni wapi kwa sasa Kuna soko zuri LA tikiti maji. Kuna tikiti acre za kutosha. Shamba liko mwanza. Aina: pata negra F1,inatarajiwa kuvunwa mwezi ujao mwishoni.

Mwenye Habari njema kuhusu soko zuri kwa sasa tafadhali anijuze.
 
Wadau naomba msaada wakulima matikiti,nikimaanisha namna ya kupata mbegu,maeneo ya kulima na vitu vingine muhimu
 
Nimekitumia PM mkuu. Kuhusu maeneo ya kulima nitafte!
 
Nana admin aniadd kwenye group nichangie uzoef wangu 0765252600
 
Habari wakuu tafadhali naombeni mni add kwenye group ya whatsapp mm ni mkulima mchanga tafadhali sana 0712581515
 
wadau vipi? nimeshaandaa shamba tayar nategemea kupanda baada ya week moja naomba kuwauliza swali.. je naweza kupanda begu tatu kwenye shimo moja na umbali vipi utabadilika nikiweka mbegu hizo pamoja????
 
Jamani mdau mpya apa naombeni mniweke na mm kwenye watsap 0713922053 nipate faida za kilimo mtabalikiwa sana
 
Back
Top Bottom