Kilimo cha Matunda

Kilimo cha Matunda

Godfrey Sway

Member
Joined
Apr 13, 2018
Posts
41
Reaction score
36
Umewahi Kujiuliza Kwanini Unashauriwa Kupanda Miche Ya Matunda Msimu Wa Mvua Za Vuli?

Kwakuwa Tumekuandalia Miche Bora ya matunda Kwa kuzingatia vigezo vyote vya kitaalamu, tuna kila sababu ya kuhakikisha unapata Ushauri na Elimu juu ya Upandaji na utunzaji Hadi Mavuno.

Hivyo Basi Unashauriwa Kupanda Miche ya matunda Msimu Wa Mvua za Vuli, na hii ni Kwa wote wenye maji ya kutosha na hata ambao Wana maji Kidogo. Hii itafanya Miche iwahi Kushika chini kwani inapata maji Mengi na Kwa muda Mrefu. Kumbuka mwishoni mwa Mvua za Vuli ni karibu na Mvua za masika. Hivyo Miche inakuwa imeimarika, na kuwa na Hali nzuri ya ukuaji.

Ufikapo kwenye kitalu chetu utapata Fursa ya kufahamu mambo mengi Sana kuhusiana na kilimo Cha Matunda aina tofaut Tofauti.
Bado Bei Zetu Ni 2500 Tu.
Tupo SUA Morogoro, Kwa hudumu ya Miche Bora, Piga Simu Leo au whatsap.
Mr. Sway: 0752799673
Glory Farm 0746850361.
Ulipo Tunakufikia.[

20230908_080903_0000.jpg
 
Back
Top Bottom