Kilimo cha Mboga aina ya Asparagus, mboga ghali sana

Inanikumbusha biashara ya hela ya mjerumani Rupia. Wazalishsji wa mbegu wako kazini
 
Alafu yuko humble sana hata mimi nazinunua sana pale japo zina msimu
Hata mm namfahamu huyu maza pale zakhem. Pia huuza vitu adimu adimu sana, kama broccoli, hoho za njano, maboga flan hivi na vitu vingine. Hauzag mchicha wala spinach.

Ila ni vizur watu wakiwa wakweli, kuliko kutamanisha watu kilimo kwa kutaja bei za ajabu af mtu akijaa anapigwa kinomaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inasaidia mambo yetu hiyo

Supu yake ni balaaaa itoshe kusema ni firee
 
Hii mboga kwa sisi wabongo ambao hatujatembea sio rahisi kabisa kuijua, Ila kwa walio tembea huko mbele watakuwa walisha kutana nayo.
Sio kweli! Hii tumekula sana..nenda maeneo ya Karagwe uliza "emisombwa" utaambiwa na kuoneshwa.Inaota sana kwenye vichaka na wakichoma vichaka(empiira) vikianza kuota nayo inaota na ndo muda wa kuivuna na kupika.upishi wake unachukua vile vichanga sana unavifunga kwenye jani la mgomba unaweka kwenye chungu pamoja na ndizi unapika ukipakua unakula kama mboga za majani pamoja na ndizi.
 

Sasa unasrma siyo kweli kwanini? Kisa Karagwe ipo? Mwenye uzi amebainisha kabisa kuwa ni mboga isiyofahamika na wengi kitu ambacho no kweli kabisa sasa wewe unasema si kweli! Unaweza ukawa unaifahamu na ni mboga kwa jamii chache lakini haiondoi ukweli kuwa siyo mboga common Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…