Kilimo cha mbogamboga - Kanuni za kukuza mboga

Sawa kiongozi ntafurahi siku nije nipate japo shamba darasa kwako
Karibu sana Lushoto mkuu, kuna changamoto kidogo ila nashukuru ukiweza kuzivumilia unakula matunda yake na maisha yanaenda poa.
 
Huwa najaribu sana kupunguza katika hii sekta ya kuliko na ufugaji

Sekta ya Kilimo hususani bustani inalipa kama ukijipanga ila nadhani ni most time demanding kama kule kwenye ufugaji wa kuku wa kisasa

Yaani hizo maeneo zinadeka kupita maelezo. Zinahitaji uwe unazisimima kama familia yako ila ukizipatia mondo unatoboa

Mimi najipanga kuanzisha kilimo cha majani ya ng'ombe hayo nimegundua hayahitaji kabisa Kero yanachapa lapa tu
 
umefikia wapi mkuu..
 
Mie nalima Chinese na spinach ila nawauzia majirani na nyingine ni za familia
 
Back
Top Bottom