Kilimo cha Mchaichai(Lemon Grass): Utaalamu, Masoko na changamoto zake

Fafanua kuhusu kilimo cha madodoki mkuu ..
 
Nilisikia redioni wanasema mafuta yke ni sh lak 5 kwa lita
 
Umefafanua vizuri sana
 
Dodoki ni zao zuri sana
nimeotesha tu kawaida na kutunza kama mimiea mingine
nilitumia mbolea ya kuku
mahitaji makubwa ya mmea huu ni eneo la kutambaa
unaweza kujengea kichanja ili zao lako liweze kutambaa vizuri
Kichanja chake kinaweza kuwa kama vile unavyootesha Passion Fruit
kama una fensi yenye draft draft au hata ile ya kawaida au unaeweza kuweka nguzo na binding wire kuwezesha litambae
hapo juu nilitumia chuma za turubali ambazo sizitumii tena

kwa yale uliyoyaona yana rangi ya njano utaona yanabonyea yako tayari kuvunwa

mwisho kabisa ni baadhi ambayo nimevuna hivi karibuni
mimea niliyootesha ya madodoki hayo ni matatu tuuu

unaweza kuyasafisha na sabuni baada ya kuyamenya ili kupata yenye rangi nzuri meupe
mimi nimesafisha tu na maji bila sabuni

mwisho kabisa ni vyema ukapata mbegu nzuri ambayo imefanyiwa tafiti ili upate matokeo bora

mwisho kabisa kabisa yale ambayo ni machanga kabisa yakiwa size kama ya karoti ni mboga tamu sana inatumika na baadhi ya makabila
 
Habari wana JF. Kuna habari nimesikia kuhusu kilimo cha mchaichai, kwamba kuna kampuni inawezesha wakulima kwa kuwapa mbegu, utaalamu na hatimaye kununua mazao hayo wenyewe. Je, kuna mwenye habari sahihi kuhusiana na jambo hili?
 
Habari wana JF. Kuna habari nimesikia kuhusu kilimo cha mchaichai, kwamba kuna kampuni inawezesha wakulima kwa kuwapa mbegu, utaalamu na hatimaye kununua mazao hayo wenyewe. Je, kuna mwenye habari sahihi kuhusiana na jambo hili?
Kuna wajerumani wapo morogoro wanalima hiyo kitu....

 
Asante sana
 
Poa sana Mkuu,Jamaa wamejitengenezea mazingira mazuri sana.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…