Habari za leo wadau ninaomba kujua idadi ya miembe ya kisasa inatotakiwa kupandwa kwenye shamba ekari
Mkuu Mimi nilipanda miembe 70 kwa maelezo ya wataalamu huku niliko.Unaweza zidisha lakini hiyo miembe inatanuka so ili izae Sana unaweka 70 kwa hekari.
Sent using
Jamii Forums mobile app