Habari za leo wadau ninaomba kujua idadi ya miembe ya kisasa inatotakiwa kupandwa kwenye shamba ekari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za leo wadau ninaomba kujua idadi ya miembe ya kisasa inatotakiwa kupandwa kwenye shamba ekari
Mkuu Mimi nilipanda miembe 70 kwa maelezo ya wataalamu huku niliko.Unaweza zidisha lakini hiyo miembe inatanuka so ili izae Sana unaweka 70 kwa hekari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tommy na apple mkuuKabla sijakushauri,naomba kujua aina ya miembe unatopanda.....!! Namaanisha varitis intended.
Sent using Jamii Forums mobile app