Hii link iko invalidKaribuni ktk group la whatsapp linalohusu kilimo cha MIHOGO<br />Click link hii kujiung <br /><br />WhatsApp Group Invite
AiseeeeKawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
Asante kwa maoniAiseeee
asante mwana janviKawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
Unajuaje kwamba JF hakuna wala mihogo??Kawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
Unajuaje kwamba JF hakuna wala mihogo??
Mbona umekosa ustaarabu?Kawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
MBEGU NZURI NI KIROBA NA NALIENDELE HUZAA TANI 20 KWA HEKTA MOJA NA INAKOMAA BAADA YA MIEZI TISAHabari wana janvi.
kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa.
Na aibu piaMbona umekosa ustaarabu?
KUNA WATU WENGINE HAWATAKIWI KUWA JF NA HAWAJUI KWA NINI TUPO HUKU.USTAARABU SIFURI.VUMILIA BRO HII NDIO TANZANIA YETU NIMEKUANDIKIA MBEGU HAPO CHINI NZURIMbona umekosa ustaarabu?
Asante! Mbegu hii inapatikana wap? Chanzo cha kuaminika!MBEGU NZURI NI KIROBA NA NALIENDELE HUZAA TANI 20 KWA HEKTA MOJA NA INAKOMAA BAADA YA MIEZI TISA
KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE LINDI NA MOROGORO SUA NA KUNA SEHEMU HAPO DAR NA PWANI ILA SINA MAWASILIANO YAO NILIPOTEZAAsante! Mbegu hii inapatikana wap? Chanzo cha kuaminika!
Pale sua hazipo kwa sasa, make nilienda kuulizia j/tatuKITUO CHA UTAFITI NALIENDELE LINDI NA MOROGORO SUA NA KUNA SEHEMU HAPO DAR NA PWANI ILA SINA MAWASILIANO YAO NILIPOTEZA
Upo wapi mkuuMkuu Mimi Nina kikundi changu tunategemea kukusanya zaidi ya tani 100,hivi soko lipoje?