T tuwe wakweli JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 223 Reaction score 59 Jul 21, 2014 #1 Nataka kujiingiza rasmi kwenye kilimo cha miparachichi,nanuia kufanya research yake lkn nimeleta wazo hl kwenu kwani mnaweza kunipa elimu yake na kwa manufaa ya wengine.Shortly nipo Kilolo-Iringa kwenye hali ya hewa nzuri. AHSANTE GT
Nataka kujiingiza rasmi kwenye kilimo cha miparachichi,nanuia kufanya research yake lkn nimeleta wazo hl kwenu kwani mnaweza kunipa elimu yake na kwa manufaa ya wengine.Shortly nipo Kilolo-Iringa kwenye hali ya hewa nzuri. AHSANTE GT