tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Nataka kujiingiza rasmi kwenye kilimo cha miparachichi,nanuia kufanya research yake lkn nimeleta wazo hl kwenu kwani mnaweza kunipa elimu yake na kwa manufaa ya wengine.Shortly nipo Kilolo-Iringa kwenye hali ya hewa nzuri.
AHSANTE GT
AHSANTE GT