Kilimo cha miti hakina faida kwa sasa. Ni biashara kichaa!

Zamani kwenye kilimo kulikuwa hakuna uhuni ila siku hizi matapeli wamejaa tele! Yasije yakatukuta ya Kyalinda.
 
Aisee, hali imekuwa mbaya kiasi hiki kwenye kilimo cha miti? CCM watatumaliza hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…