Amaizing Mimi JF-Expert Member Joined Feb 2, 2019 Posts 489 Reaction score 1,102 Jan 30, 2021 #1 Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa ya kiteto?Kumbuka nahitaji miti kwa ajili ya mbao.
Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa ya kiteto?Kumbuka nahitaji miti kwa ajili ya mbao.