Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa ya kiteto?Kumbuka nahitaji miti kwa ajili ya mbao.