Kilimo cha miti ya mbao au kilimo cha mikorosho

Kilimo cha miti ya mbao au kilimo cha mikorosho

Sasa kama mti hauna thamani si bora wachome mkaa wasafirishe mikoani, maana bei ya mkaa wa miti hiyo mepesi ni kati ya sh elf 20 mpaka 30 kwa gunia kuliko kuuza mti mmoja buku ( mara mbili ya bei ya miche [emoji1787][emoji1787]!!)
Ni balaa sana mkuu, watu saivi wamehamia kwenye parachichi huko hawataki kabisa kuskia habari ya miti
 
Mkuu njoo shambani huku utajua uhalisia, 2019 mti ulikua elfu5 saivi ni elfu2... Ile milingoti ndo kidogo bei yake ipo vizuri
Ni vyema uwe mahsusi ni mti gani huo 1000tsh, unaweza kuta ni mirunda, pia mtoa mada alitakiwa kuwa specific pia anazungumzia soft wood au hard wood maana mahesabu yake pia ni tofauti.
 
Ni vyema uwe mahsusi ni mti gani huo 1000tsh, unaweza kuta ni mirunda, pia mtoa mada alitakiwa kuwa specific pia anazungumzia soft wood au hard wood maana mahesabu yake pia ni tofauti.
Nazungumzia pine mkuu
 
Panda miti pia panda korosho. Robo miti na robo tatu korosho.diversify your investment, pakiyumba pamoja unainukia pa ingine.
 
yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?
 
Katika Biashara ambayo sijawahi kuielewa ni ya KULIMA MITI... SIJAWAHI YANI

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Lima miti kimalengo. Tunatabia ya kufungulia watoto account na kila mwezi unaweka pesa, baada ya miaka 10 utakuwa na kiasi gani? Eka 10, kununua ardhi mpaka kupanda miti(pines) 5,000 ni sh 2,500,000 mpaka 3,000,000. Mti uliotunzwa vizuri ni 15,000 hadi 20,000, ukiamua kupasua mwenyewe kama unauwezo faida mara 2. Baada ya miaka 10 utakuwa na kiasi gani?
 
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?

Hizo ni story za vijiweni. wataalamu wa mikorosho wanasema zina life span ya zaidi ya miaka 30.
 
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?

Nishawahi sikia the same thing… kwanba inazaa miaka mitatu tu
 
Mie nipo mafinga hapa, mti wa mbao saivi buku ukizidi sana buku mbili
Samahani Mkuu,
Kama nina interest ya kununua shamba lenye miti, kwa gharama hizo za 1000-2000 kwa mti. Shamba la Eka 1 linaweza kunigharimu kiasi gani kwa maeneo yako? Na vipi upatikanaji wake?
Asante.
 
Inaanza kuzaa baada ya miaka mitatu , ila ina maisha ya miaka 25 hadi 30, ndio nilivyosikia .

Wenye uzoefu watujuze asee… I heard the same, inaanza kuzaa baada ya miak mitatu then baada ya miaka mingine mitatu uzalishaji unapungua hadi kuacha kabisa
 
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

[emoji271]Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.

Back
Top Bottom