Ni balaa sana mkuu, watu saivi wamehamia kwenye parachichi huko hawataki kabisa kuskia habari ya mitiSasa kama mti hauna thamani si bora wachome mkaa wasafirishe mikoani, maana bei ya mkaa wa miti hiyo mepesi ni kati ya sh elf 20 mpaka 30 kwa gunia kuliko kuuza mti mmoja buku ( mara mbili ya bei ya miche [emoji1787][emoji1787]!!)
Mkuu njoo shambani huku utajua uhalisia, 2019 mti ulikua elfu5 saivi ni elfu2... Ile milingoti ndo kidogo bei yake ipo vizurimbao hardware zingekuwa zinauzwa 50/=Tsh
Ni vyema uwe mahsusi ni mti gani huo 1000tsh, unaweza kuta ni mirunda, pia mtoa mada alitakiwa kuwa specific pia anazungumzia soft wood au hard wood maana mahesabu yake pia ni tofauti.Mkuu njoo shambani huku utajua uhalisia, 2019 mti ulikua elfu5 saivi ni elfu2... Ile milingoti ndo kidogo bei yake ipo vizuri
Nazungumzia pine mkuuNi vyema uwe mahsusi ni mti gani huo 1000tsh, unaweza kuta ni mirunda, pia mtoa mada alitakiwa kuwa specific pia anazungumzia soft wood au hard wood maana mahesabu yake pia ni tofauti.
Ndio biashara iliyowatoa wakinga hiyo wakaja kujenga hotel town na kufungua maduka kkoo, sema sikuhizi haina ishu tenaKatika Biashara ambayo sijawahi kuielewa ni ya KULIMA MITI... SIJAWAHI YANI
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
Lima miti kimalengo. Tunatabia ya kufungulia watoto account na kila mwezi unaweka pesa, baada ya miaka 10 utakuwa na kiasi gani? Eka 10, kununua ardhi mpaka kupanda miti(pines) 5,000 ni sh 2,500,000 mpaka 3,000,000. Mti uliotunzwa vizuri ni 15,000 hadi 20,000, ukiamua kupasua mwenyewe kama unauwezo faida mara 2. Baada ya miaka 10 utakuwa na kiasi gani?Katika Biashara ambayo sijawahi kuielewa ni ya KULIMA MITI... SIJAWAHI YANI
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?
Mbao mti mmoja 30000 mkaratusi[emoji23][emoji23] mti mmoja 50,000/= mpaka 70,000/=
Na Tabora piaKuna miradi mikubwa imeanza singida na Isimani Iringa inafanya vuzuri sana
Hii Mokorosho ya kisasa wanasema ina miaka ya kuishi, muda ukifika hauzai unaukata unapanda mwingine, kama ilivyo kwenye parachichi, nitofauti na ile miti ya asili. Kweli?
Samahani Mkuu,Mie nipo mafinga hapa, mti wa mbao saivi buku ukizidi sana buku mbili
Inaanza kuzaa baada ya miaka mitatu , ila ina maisha ya miaka 25 hadi 30, ndio nilivyosikia .Nishawahi sikia the same thing… kwanba inazaa miaka mitatu tu
Inaanza kuzaa baada ya miaka mitatu , ila ina maisha ya miaka 25 hadi 30, ndio nilivyosikia .
Isimani sehemu gani korosho wamelima?Kuna miradi mikubwa imeanza singida na Isimani Iringa inafanya vuzuri sana
Kama inakubali Tabora, haiwezi kukataa Kigoma. Nitajaribu nione.Na Tabora pia