SILLENT KILLER 2
Member
- Jun 12, 2024
- 28
- 38
Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
Mitiki vipi ina mbegu za kisasaSiku hizi kuna mbegu za kisasa na wanapandia mbolea. kuanzia miaka 8 unaanza kuvuna.
Mirunda ni miaka 6 hadi 8 unaanza kuvuna.
Kuna wakati niliwahi ambiwa kuna miche ya mitiki toka south Afrika na ina spicie inakuwa miaka kumi au karibia na hapo.Hili vipi mtumishi.Siku hizi kuna mbegu za kisasa na wanapandia mbolea. kuanzia miaka 8 unaanza kuvuna.
Mirunda ni miaka 6 hadi 8 unaanza kuvuna.
Inawzekana, lakini huku nyanda za juu kusini mitiki haikubali.Kuna wakati niliwahi ambiwa kuna miche ya mitiki toka south Afrika na ina spicie inakuwa miaka kumi au karibia na hapo.Hili vipi mtumishi.
OkInawzekana, lakini huku nyanda za juu kusini mitiki haikubali.
Mitiki naona inakubali mikoa ya pwani mpaka morogoro.
Pia kuna uzi humu JF kuhusu kilimo cha mitiki,
Long term businessMaeneo yanayo faa kwa kilimo cha miti ni nyanda za juu kusini , mikoa ya iringa, mbeya na njombe , na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro, arusha na manyara .
Unaweza ukapanda mikaratusi na pine baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano ukavuna.
Faida ni nyingi hasa kabisa ni utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji , pia unajipatia kipato kwa kuuza mbao na miche ya miti .
Okay , AsanteSiku hizi kuna mbegu za kisasa na wanapandia mbolea. kuanzia miaka 8 unaanza kuvuna.
Mirunda ni miaka 6 hadi 8 unaanza kuvuna.
DuhKuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
Hiyo miche ya sh 100 hadi 150 inapatikana sehemu gani?Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
Asante mkuuMaeneo yanayo faa kwa kilimo cha miti ni nyanda za juu kusini , mikoa ya iringa, mbeya na njombe , na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro, arusha na manyara .