Kilimo cha miti ya mbao

Kilimo cha miti ya mbao

Maeneo yanayo faa kwa kilimo cha miti ni nyanda za juu kusini , mikoa ya iringa, mbeya na njombe , na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro, arusha na manyara .

Unaweza ukapanda mikaratusi na pine baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano ukavuna.

Faida ni nyingi hasa kabisa ni utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji , pia unajipatia kipato kwa kuuza mbao na miche ya miti .
 
Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
 
Kilimo kizuri ila kina risky sana, inachukua muda gani mpaka kuvuna? Vipi kuhusu kilimo cha mirunda una ufahamu nacho, kikoje tafadhali?
Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
 
Siku hizi kuna mbegu za kisasa na wanapandia mbolea. kuanzia miaka 8 unaanza kuvuna.
Mirunda ni miaka 6 hadi 8 unaanza kuvuna.
Kuna wakati niliwahi ambiwa kuna miche ya mitiki toka south Afrika na ina spicie inakuwa miaka kumi au karibia na hapo.Hili vipi mtumishi.
 
Inawzekana, lakini huku nyanda za juu kusini mitiki haikubali.
Mitiki naona inakubali mikoa ya pwani mpaka morogoro.
Pia kuna uzi humu JF kuhusu kilimo cha mitiki,
 
Duh nilinunuaga shamba tarime na rorya na nilikuwaga na mpango wa kuweka mitiki sasa mbona kama naanza kukata tamaa
 
Maeneo yanayo faa kwa kilimo cha miti ni nyanda za juu kusini , mikoa ya iringa, mbeya na njombe , na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro, arusha na manyara .

Unaweza ukapanda mikaratusi na pine baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano ukavuna.

Faida ni nyingi hasa kabisa ni utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji , pia unajipatia kipato kwa kuuza mbao na miche ya miti .
Long term business
Okay,asnte
 
Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
Duh
Kuna mtu aliniambia kumbe hakunidanganya!
Ila noana gharama zake SI mchezo
 
Jumla kuu ya gharama Kwa uwekezaji Kwa hekari moja kuanzia kupanda Hadi kuvuna inaweza gharim shi. Ngapi.
 
Kuna gharama ya kupata shamba na kuandaa shamba.
1. mche 1 wanauza kati ya sh 100 hadi 150.
2. kupanda mche mmoja ni sh 100
3. Ekari moja ni miti 500 hadi 600
Baada ya hapo.
1. kuweka fire line kuzunguka shamba kila mwaka kujikinga na moto.
2. kuna pruning nafikiri inafanyika mara 3 mpaka unavuna,(gharama huwa inapigwa kwa mti moja moja)
Changamoto kubwa ni moto, usipande miti kwenye ardhi ya kukodi, utalia.
Pia kuna wizi, wakikusoma vizuri wanavuna miti(hii sio saaana)
Hiyo miche ya sh 100 hadi 150 inapatikana sehemu gani?
 
Ukiamua kuuza hiyo miti mikubwa hapo shambani, bei ya wastani kwa mti mmoja ni sh ngapi
 
Jamani mbao ya mtiki ni mbao yenye thamani kuliko mbao yoyote duniani hata uuzwaji wake nje inauzwa kwa futi na kiukweli watanzania wengi hatuna uwezo wa kutumia mtiki kama gharama yake ingejulikana ila walio wengi wanalima na kutopata soko linalostahili ndio maana inafananizwa na mninga na mkngo ukipanda ndege chunguze zile furniture za mule ndani ni mtiki kwenye meli angalia vizuri mbao zile ni mtiki hoteli za nyota 5 chunguza vizuri ni mtiki
 
🌱Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

🌱Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

🌱Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.
 
🌱Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

🌱Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

🌱Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.
 
Maeneo yanayo faa kwa kilimo cha miti ni nyanda za juu kusini , mikoa ya iringa, mbeya na njombe , na mikoa ya kaskazini kama kilimanjaro, arusha na manyara .

Unaweza ukapanda mikaratusi na pine baada ya miaka kumi mpaka kumi na tano ukavuna.

Faida ni nyingi hasa kabisa ni utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji , pia unajipatia kipato kwa kuuza mbao na miche ya miti .
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom