Nashukuru mkuu vp iringa seheme gan Kuna irrigation schemeKukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana kuwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu katoto (Hii kwa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Nashukuru mkuu vp iringa seheme gan Kuna irrigation scheme
Hiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.Kukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana huwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu kasoro ( NB: Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Hiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.
Ghara zao zipo hivi.
1. Kukodi shamba 120,000/= eka 1
2.kulima na kuotesha mbegu80,000/=
3. Kupandikiza60,000/=
4.palizi 60,000/=
5. Maji kumwagilia kila wiki 10,000/= mpk mpunga uchanue
6. Mbolea 54,000/=
7. Mfukuza ndege 60,000/=
8. Ukivuna ofisi ya mradi unalipia 50,000/=
Jumla tafuta mwenyewe hapo ila hazilipi kwa mkupuo
Huwezi pata gunia 30 kwa eka moja, labda viroba 30Mfano nikapata gunia 30 faida ipo ya kueleweka
Huwezi pata gunia 30 kwa eka moja, labda viroba 30
Inawezekana Mkuu.Utaalamu na ulimaji wenyewe Mkuu, kama mtu atalima kisasa kwa kutumia mbegu na pembejeo kama nchi za mbali huko unaambiwa kipato kinatakiwa kuwa gunia arobaini(40)
I
Inawezekana Mkuu.
Kwa huko bagamoyo wastani unapata gunia ngap kwa hekaHiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.
Ghara zao zipo hivi.
1. Kukodi shamba 120,000/= eka 1
2.kulima na kuotesha mbegu80,000/=
3. Kupandikiza60,000/=
4.palizi 60,000/=
5. Maji kumwagilia kila wiki 10,000/= mpk mpunga uchanue
6. Mbolea 54,000/=
7. Mfukuza ndege 60,000/=
8. Ukivuna ofisi ya mradi unalipia 50,000/=
Jumla tafuta mwenyewe hapo ila hazilipi kwa mkupuo
Inategemea na matunzo, ila hazizidi 25 na azipungui 16Kwa huko bagamoyo wastani unapata gunia ngap kwa heka
Pale dakawa kwa sasa ni 350,000 mpaka 400,000 kwa ekari na una chance kubwa ya kudhulumiwa vile vile kuna magalagaja sana pale wana kodisha mpaka mara tano,tanoKukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana huwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu kasoro ( NB: Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Hujamuuliza gunia za debe ngapi ila kama ni debe saba unaweza pata hata gunia 40 ila shamba liwe nzuri na uweke mbolea ya kutosha.Huwezi pata gunia 30 kwa eka moja, labda viroba 30
Pale dakawa kwa sasa ni 350,000 mpaka 400,000 kwa ekari na una chance kubwa ya kudhulumiwa vile vile kuna magalagaja sana pale wana kodisha mpaka mara tano,tano
Dakawa pamezidi mkuu.Utapeli na udhulumishi inatakiwa kutahadhari nao maeneo yote