Kilimo cha mpunga dakawa

Kilimo cha mpunga dakawa

Fenuchi

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Posts
116
Reaction score
38
Wakuu naomba kujuzwa juu ya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika skimu ya dakawa
1.Je ni vipi naweza kupata mashamba katika skimu hi ya umwagiliaji/ Kama wanakodisha je ni bei gan kwa heka !?

2.Msimu unaanzaa lini kuandaa mashambaa na kupanda !?
 
Kukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana huwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu kasoro ( NB: Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
 
Kukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana kuwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu katoto (Hii kwa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Nashukuru mkuu vp iringa seheme gan Kuna irrigation scheme
 
Kukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana huwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu kasoro ( NB: Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Hiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.
Ghara zao zipo hivi.
1. Kukodi shamba 120,000/= eka 1
2.kulima na kuotesha mbegu80,000/=
3. Kupandikiza60,000/=
4.palizi 60,000/=
5. Maji kumwagilia kila wiki 10,000/= mpk mpunga uchanue
6. Mbolea 54,000/=
7. Mfukuza ndege 60,000/=
8. Ukivuna ofisi ya mradi unalipia 50,000/=

Jumla tafuta mwenyewe hapo ila hazilipi kwa mkupuo
 
Mfano nikapata gunia 30 faida ipo ya kueleweka
 
Huwezi pata gunia 30 kwa eka moja, labda viroba 30

Utaalamu na ulimaji wenyewe Mkuu, kama mtu atalima kisasa kwa kutumia mbegu na pembejeo kama nchi za mbali huko unaambiwa kipato kinatakiwa kuwa gunia arobaini(40)
 
I

Inawezekana Mkuu.
 
Sema sisi huku mbegu zetu ni hizo hizo tulizovuna miaka nenda miaka rudi ndio maana kipato kikubwa unakuta ni gunia 20 kwa ekari tena ya mpunga wa kumwagilia
Kwan Bei ya mbegu ya kisasa wanauzajee mkuuu mfn ya kutoshaa hio heka moja
 
Hiyo bei kubwa sana Mkuu. Bei zinatofautiana eneo na eneo....Bagamoyo njia ya kwenda Msata kuna sehemu kuna mashamba ya umwagiliaji panaitwa Jaica hapo unalimwa Mpunga.
Ghara zao zipo hivi.
1. Kukodi shamba 120,000/= eka 1
2.kulima na kuotesha mbegu80,000/=
3. Kupandikiza60,000/=
4.palizi 60,000/=
5. Maji kumwagilia kila wiki 10,000/= mpk mpunga uchanue
6. Mbolea 54,000/=
7. Mfukuza ndege 60,000/=
8. Ukivuna ofisi ya mradi unalipia 50,000/=

Jumla tafuta mwenyewe hapo ila hazilipi kwa mkupuo
Kwa huko bagamoyo wastani unapata gunia ngap kwa heka
 
Msaada nahitaji mpunga aina ya KAHOGO na PICHOLI hizi ni mbegu za asili zamani zilikuwa zinapatikana mikoa ya kanda ya ziwa hususani mkoani Mwanza. Mwenye aina hizo za mpunga tuwasiliane tafadhali. Ni kwa ajili ya mbegu. Asanteni.
 
Kukodi Mashamba katika maeneo yenye scheme ya umwagiliaji jiandae kwa bei ya shilingi laki MBILI kwa ekari moja, ukipata kwa laki moja kwa ekari umebahatika sana maana huwa bei ya kukodi inaenda mpaka laki mbili na nusu hadi laki Tatu kasoro ( NB: Hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu katika maeneo yenye Irrigation scheme katika mkoa wa Iringa )
Pale dakawa kwa sasa ni 350,000 mpaka 400,000 kwa ekari na una chance kubwa ya kudhulumiwa vile vile kuna magalagaja sana pale wana kodisha mpaka mara tano,tano
 
Huwezi pata gunia 30 kwa eka moja, labda viroba 30
Hujamuuliza gunia za debe ngapi ila kama ni debe saba unaweza pata hata gunia 40 ila shamba liwe nzuri na uweke mbolea ya kutosha.
 
Pale dakawa kwa sasa ni 350,000 mpaka 400,000 kwa ekari na una chance kubwa ya kudhulumiwa vile vile kuna magalagaja sana pale wana kodisha mpaka mara tano,tano

Utapeli na udhulumishi inatakiwa kutahadhari nao maeneo yote
 
Nadunduliza ipo sku ntaanza kilimo niuze vyangu si vya kununua tu
 
Back
Top Bottom