Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

mahaha

Member
Joined
Mar 23, 2022
Posts
8
Reaction score
7
WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
 
Ngoja waje
 
Sasa mkuu hapo kwenye mapato, inategemea kwanza na ubora wa mchele wako baada ya kuvunwa na kukobolewa, cha pili ni soko la wakati huo, ambalo linategemea na wingi wa mavuno kwa msimu huo.kuhusu gharama za kilimo inategemea na sehemu ulipo, kuna baadhi ya maeneo wastani wa heka moja inaweza kugharimu kama laki 7.
NB:kilimo cha mpunga ni pasua kichwa hasa kwa wewe ukiwa mgeni halafu ulime heka 20, daaa!!kilimo cha kutegemea mvua ni tabu sana, yaani ikija kidogo tabu, ikija nyingi sana tabu.Ila jilipue tu mkuu, wakati mwingine haya maisha bila kujilipua huwezi fika mbali, ila kwenye kilimo .....
 
Subili wakilima we nunua weka store kilimo Cha mpunga Kama shamba ni la kukodisha ni hasara na inakuwa faida Kama shamba ni lako
 
Mkuuu angalia usiharibu hela yako Kama shamba s lako bora ungenunua kwa jumla kipindi cha mavuno kilimo cha Tanzania n pasua kichwa huwez tegemea kilimo kuendesha mambo yako na maisha yan huwez tegemea kilimo kabisa mkuu
 
Andaa laki 5 kwa kila Hekari 1 na wastani wa mavuno ni gunia 20 per Hekari kazi kwako.
 
Back
Top Bottom