Ngoja wajeWADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
Sasa mkuu hapo kwenye mapato, inategemea kwanza na ubora wa mchele wako baada ya kuvunwa na kukobolewa, cha pili ni soko la wakati huo, ambalo linategemea na wingi wa mavuno kwa msimu huo.kuhusu gharama za kilimo inategemea na sehemu ulipo, kuna baadhi ya maeneo wastani wa heka moja inaweza kugharimu kama laki 7.WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
Gunia lampunga limesimamaje sasa hivi?Andaa laki 5 kwa kila Hekari 1 na wastani wa mavuno ni gunia 20 per Hekari kazi kwako.