Kilimo cha ndizi Brazil

Kilimo cha ndizi Brazil

Nitafanya kilimo hiki kwani soko lake lipo watu hatulimi kibiashara tuu na aina ya ndizi pia
Nina program hiyo Dom mkuu yaani kwa jinsi ndizi ilivyo pangwa na usafi wa Hali ya juu hata ng'e hakai hapo
 
Shamba zuri sana hakika.
Graduates wa sasa wasiweke mawazo yao yote kwenye Ajira.
Ardhi tunayo ya kutosha
Maji tunayo.
Ukiwa na shamba kama hilo ukapanda ndizi Mzuzu haitakuangusha.
 
Sasa Sky sasa hii si ndio story of change yenyewe?

Hata wachangiaji wanaonekana wapo aware kuwa hiyo ni business

Nawaibia siri tu, nchi kamen ndio zinaweza kufanya kilimo kizuri zaidi kulikoni nchi zenye unyevu wakati wote

Irrigation ni moyo wa kilimo sio maunyevu au mvua

Sasa hii ni siri utaona wasiojua hii siri wanaanza yoweeeee
 
Back
Top Bottom