Kilimo cha nyanya chungu na pilipili mbuzi

Kilimo cha nyanya chungu na pilipili mbuzi

masandare

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
671
Reaction score
574
Habari JF
Nimependa kuingia katka kilimo cha mbogamboga hususani katika kilimo cha Pilipili mbuzi na nyanya chungu
Hivyo basi naomba kupatiwa ufafanuzi juu vitu vifuatavyo
1. Gharama za uzalishaji kwa heka
2.Mavuno kwa heka
3.Historia ya bei zake sokoni
4.CHANGAMOTO KAMA ZIPO

Nawasilisha
 
changamoto katka zao la nyanya chungu ni madawa tu Ila kulivuna linachukua takribani mwaka 1 ukilivuna
 
changamoto katka zao la nyanya chungu ni madawa tu Ila kulivuna linachukua takribani mwaka 1 ukilivuna

Natafuta miche ya sijajua ntaipata wapi maana nimepanda mbegu za pili pili na ngogwe mpaka sasa hazijaota. WIKI YA TATU SASA
 
Back
Top Bottom