Habari JF
Nimependa kuingia katka kilimo cha mbogamboga hususani katika kilimo cha Pilipili mbuzi na nyanya chungu
Hivyo basi naomba kupatiwa ufafanuzi juu vitu vifuatavyo
1. Gharama za uzalishaji kwa heka
2.Mavuno kwa heka
3.Historia ya bei zake sokoni
4.CHANGAMOTO KAMA ZIPO
Nawasilisha
Natafuta miche ya sijajua ntaipata wapi maana nimepanda mbegu za pili pili na ngogwe mpaka sasa hazijaota. WIKI YA TATU SASA