Bwana Mpanzi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 200
- 195
Unaweza kulima malengo na msisitizo au kikanuni kilimo cha bustani ni katika eneo uangalizi mkubws kwa matokeo bora zaidi na zaidiNyanya ya biashara hailimwi green house braza labda itakuwa ya mboga tu, kama unahitaji nyanya kibiashara lima shambani kabisa angalau uanzie ekari moja na kuendelea.
Hata mbegu ya Hasira na Imara pia Tanya Mwanga zinafanya vizuri sana !! Changamoto ya Nyanya kila step yake ya ukuaji ina changamoto !! Zinahitaji uangalizi wa karibu sana !! Tofauti na mazao kama Pilipili hoho
Kuna aina tofauti ya mbegu kutokana na tabia ya nyanya mfano kuna za msimu fulan kama masika nazo ni imara f1 na advanta ila kuna za kipindi cha kiangazi kama vile kina na kuna ukuaji yaani fupi kama zenye ukomo wa ukuaji kina roma na Cal j, za kati kina tengeru na zile zisizo na ukomo wa kirefuka kama kina Asilla na Ana pia kuna suala la ukinzani wa magonjwa mfano mnyauko fusarium ni Advanta au imara ndizo nzuri kuna mnyauko bacteria kama bawito ila suala la ugumu wa ganda la nyanya linaangaliwa sana sana katika kussfirisha na biashara kwa ujumla kina kipato na Assila.....
Ina matokeo mazuri ila kuna misimu hasa masika haina ukinzani labda ulimie ndani katika screenhouseHivi hiyo Asilla ndio mbegu ya biashara na inafaa kwa misimu yote au?
Mboga mboga pekee mkuu, nyanya za biashara huwezi lima kwa style hiyo, gharama ya kutengeneza house ni bora ukaandaa hekari moja, maake gharama ya kuhudumia heka moja ya nyanya kitaalamu ni kati ya 1,000,000 na kitu ampapo utakuwa na mavuno makubwa yenye faida kubwa. Ni ushauri tu mkuu.Nini (Zao) kinalimwa green house kibiashara?
Mkuu usilime nyanya kwa mbwembwe, lima kwa malengo makubwa, greenhouse ni kwa ajili ya mbogamboga hizo hutoa mavuno mazuri sana ila nyanya usifanye hivyo.Unaweza kulima malengo na msisitizo au kikanuni kilimo cha bustani ni katika eneo uangalizi mkubws kwa matokeo bora zaidi na zaidi
Ambazo wanalimaga green house ni za nn au kwa ajili ya kutegea PanyaNyanya ya biashara hailimwi green house braza labda itakuwa ya mboga tu, kama unahitaji nyanya kibiashara lima shambani kabisa angalau uanzie ekari moja na kuendelea.
Soma mgawanyo wangu wa nyanya na kuna vitu uvielewe ni indoor traits in Horticulture and outdoor kwa hivyo katika malengo yako makubwa bila kuelewa ni sifuri, kaa upewe mwongozo, kabla ya kununua mbegu ukiza ni ya nje au ndani kisha uulize ni kwanini waliotengeneza walifanya breeding ya namna hiyo kisha urudiMkuu usilime nyanya kwa mbwembwe, lima kwa malengo makubwa, greenhouse ni kwa ajili ya mbogamboga hizo hutoa mavuno mazuri sana ila nyanya usifanye hivyo.
Ndugu, sasa mbogamboga na nyanya kipi kina mapato makubwa kwa kuzingatia kipimo kimoja cha eneo kwa kila zao? Kwanza hata nyanya zinaingia kwenye kundi la mboga mboga.Mkuu usilime nyanya kwa mbwembwe, lima kwa malengo makubwa, greenhouse ni kwa ajili ya mbogamboga hizo hutoa mavuno mazuri sana ila nyanya usifanye hivyo.
Umenena vizuri sanaKwa Msaada...
Kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi katika kila hatua ya makuzi yake.
Nyanya inapesa nyingi lkn kwa ulimaji wa heka moja na kuendelea ndiyo utaona faida ya nyanya. Kwa screenHouse kama hiyo return yake ni ya mda mrefu almost 5 yrs ndo irudishe investment cost. Kama una nguvu lima eneo kubwa zaidi ya hilo ( lkn itategemea na ukubwa wa soko lako linalokuzunguka).
Mbegu zipo nyingi sana za chotara zaidi ya variety 1000 sema kwa Tanzania kila ukanda wana mapendekezo yao ya mbegu..
Mbegu kama Faida na Zara zinashabiana kitabia kuzaa sana lkn kunenepa changamoto otherwise uishindilie nutrient za kutosha... Kuna Assila, Jarrah, Gamar, Imara, DRD, Star, Bawito, Prostar, Anna, Uwezo, BigRock nakadhalika...
8,000.Miche mingap ya nyanya itatoshea kwa eka moja?
Inaweza ikawa kweli. Japo Miche 700 inayozaa vizuri kwa mbegu za green house huenda ikawa sawa na Miche 2000 ya mbegu nyingine.Nyanya ya biashara hailimwi green house braza labda itakuwa ya mboga tu, kama unahitaji nyanya kibiashara lima shambani kabisa angalau uanzie ekari moja na kuendelea.
Hapana biashara ya nyanya ulioiwaza ni nzuri siwezi kukuvunja moyo kwani faida ipo nzuri sana, japo inategemeana na unataka kulima lini.Inaweza ikawa kweli. Japo Miche 700 inayozaa vizuri kwa mbegu za green house huenda ikawa sawa na Miche 2000 ya mbegu nyingine.
Zao gani linafaa mbadala wa nyanya.?
Sawa lakin naona kama umeiwahisha sana, kwan nyanya za saizi hiyo huenda zikawa nyingi, mara nyingine tegea uwe unapandia mwezi januar katikati za kuivia mwezi wa tatu bei yake huwa imechangamka sana. Ambapo unakuwa ulisiha mbegu mwezi wa 12 katikati.Nyanya iko shamban kwa Sasa imeshaanza kuzaa