Kwa Msaada...
Kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi katika kila hatua ya makuzi yake.
Nyanya inapesa nyingi lkn kwa ulimaji wa heka moja na kuendelea ndiyo utaona faida ya nyanya. Kwa screenHouse kama hiyo return yake ni ya mda mrefu almost 5 yrs ndo irudishe investment cost. Kama una nguvu lima eneo kubwa zaidi ya hilo ( lkn itategemea na ukubwa wa soko lako linalokuzunguka).
Mbegu zipo nyingi sana za chotara zaidi ya variety 1000 sema kwa Tanzania kila ukanda wana mapendekezo yao ya mbegu..
Mbegu kama Faida na Zara zinashabiana kitabia kuzaa sana lkn kunenepa changamoto otherwise uishindilie nutrient za kutosha... Kuna Assila, Jarrah, Gamar, Imara, DRD, Star, Bawito, Prostar, Anna, Uwezo, BigRock nakadhalika...