Ngusekela Omwami
Senior Member
- May 6, 2022
- 103
- 113
Mkuu wewe ni mtaalamu wa zao hilo? Naweza pata contact zako kwa ushauri zaidi?Sawa lakin naona kama umeiwahisha sana, kwan nyanya za saizi hiyo huenda zikawa nyingi, mara nyingine tegea uwe unapandia mwezi januar katikati za kuivia mwezi wa tatu bei yake huwa imechangamka sana. Ambapo unakuwa ulisiha mbegu mwezi wa 12 katikati.
Wadau misaada heka moja ya nyanya ni tenga ngapiSamahanini jamani wadau..! Eti hekari moja ya nyanya inaweza kutoa tenga ngapi kwa uzoefu?
Inategemea na aina ya mbegu(F1 au OPV) na kampuni nyingi wanaandika mavuno kwa kila pakiti ya mbegu.Ila mara nyingi huwezi kupata mavuno exactly km ilivyoandikwa.Samahanini jamani wadau..! Eti hekari moja ya nyanya inaweza kutoa tenga ngapi kwa uzoefu?
Inategemea na upandaji ,mfumo wa umwagiliaj na aina ya mbegu, hua inaanzia miche 2000-4000Wakuu heka moja inachukua miche mingapi ya nyanya
Na garama zake mapaka kuanza kuchuma inaweza kuhitaji bei gani.Inategemea na upandaji ,mfumo wa umwagiliaj na aina ya mbegu, hua inaanzia miche 2000-4000
Na garama zake mapaka kuanza kuchuma inaweza kuhitaji bei gani.
Ok tuanze na mbegu nzuri inakua shilingi ngapi dukani inayotosha heka moja..? Kukodi shamba bei?? Kulima na kupanda. Na dawa zitakazo saidia kulinda mmea toka mwanzo kitaluni mpaka zikiwa tayari kuvunwa. Kwa kifupi nipe mdodoso wa kilimo cha nyanya kwa heka moja reference hapo ulipo wewe. Ili mwanga upatikaneHapa gharama zinategemea yafuatayo
1: location
2: source of water
3:labour
4: farm implement
5:Other inputs
Jaribu hapo kuchanganua hapo mkuu
Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu mwingine....Eneo nilipolimia ni BAGAMOYO.....ahsanteni
Mimi ni mara ya kwanza, changamoto kubwa nilizokumbana nazo ni ukungu, kuna kipindi kantangaze alitaka kunilaza na viatu lakini nashukur Mungu Sasa mambo yanaenda vizur....panapo majaliwa ya Mungu mwezi ujao mwanzoni naanza kuvunaKitu kwa hongera. Mie nimepanda imara mwezi November naanza kuvuna. Mie nimepanda IMARA F1 . Changamoto zako ni zipi huko? Mie Niko Chanika
Hongera nyingi zikufikie hapo chanika. Vipi hujakutana na changamoto ya mnyauko bacteria hapo chanika kwa hiyo mbegu?Kitu kwa hongera. Mie nimepanda imara mwezi November naanza kuvuna. Mie nimepanda IMARA F1 . Changamoto zako ni zipi huko? Mie Niko Chanika
Unalimia Chanika maeneo gani? Chief mashamba yanapatikana maeneo ya uko?Kitu kwa hongera. Mie nimepanda imara mwezi November naanza kuvuna. Mie nimepanda IMARA F1 . Changamoto zako ni zipi huko? Mie Niko Chanika
Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu mwingine....Eneo nilipolimia ni BAGAMOYO.....ahsanteni
Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu mwingine....Eneo nilipolimia ni BAGAMOYO.....ahsanteni
Nakubali kaka, kuhusu mbolea tokea nimeanza natumia ya kuku mpaka leo hii na mzigo now umefikia hapa....Ila kwa zao la nyanya madawa ni muhimu hususani za wadudu la sivyo unaweza toka patupu....Mungu ni mwemaNimesoma komenti tangu mwanzo hadi hapa.. Ila bado sijapata content ya kujitosheleza.. Hasa kwa sisi wageni ambao tunashawishika kulima zao la nyanya..
Kilimo cha nyanya , ni project kama project zingine tuu.. Hivyo inahitaji mambo kadha wa kadha wa kuyajua. Mfano, ujue gharama ya from beginning to end, gharama ya kuvuna, na faida zake; hii itategemea na ukubwa wa shamba, kama ni kwa robo eka, nusu au ekali nzima..
Sasa inaonyesha is like wengi wetu tunaingia bila kujua mchanganuo... Changamoto nk.
Story zimekuwa nyingi, kila utaalamu adi mtu unashindwa kujua ufanyeje..
It seems like humu kuna wakweli na matango pori..
Mbaya zaidi sasaivi sisi wanadamu hasa watanzania tunapokea kila kitu kutoka nje huko. Hao wa nje wanatuletea kila kitu skuiz chotara na feki za muda mfupi ili tuendelee kuwategemea..
Yaani imefikia hadi sasa ivi hatuwezi tena kutengeneza mbolea ya mboji ya asili, tunataka shortcut.. Hii imetulemaza sana.
Kuna mzee mmoja mahali flan ana shamba la ekali kama moja, analima mahindi.. Analima kilimo cha mkono tuu, anaweka mboji, kwenye ukuzaji anatumia ya kuku na ng'ombe, kila wakati anatembelea shamba, anafanya parizi mda wote, shamba liko saaafii mda wote, kila wakati anaweka mbolea hizo pale anapoona inabidi... Yaani mahindi yake yananyanyuka hatareee yanabeba baraaaa...
Lakini sisi vijana skuiz tumekuwa brain washed na hao washenzi wa nje.. Wanatengeneza strategic programs, wana zi publish kwa nguvu zoooteee.. Sisi tuna vitu vingi vya asili ambavyo ukiwa creative unaweza ukalima bila ya kutumia hayo madawa yao kwa sana, na ukafanikiwa..
Nimefanya studies kadhaa, believe me o not,, hayo madawa na mambolea yao, ndio in returns yanaleta madudu kibao.. So, itafika mahali kuna siku TUTALETEWA HADI UDONGO WA KUUZWA AMBAO UTAKUWA UNAFAA KWA KILIMO.. Usipo tumia akili utasema haiwezekani.. Nikwambie sasa.. Wataleta madawa ambayo watakuambia uchanganye udongo wako na hayo madawa kabla ya kuweka mbolea, na utatii, then watakuambia nunua pumba spesho kutoka wapi sijui, uziweke juu yake kabla ya mbolea, na utatii.. Hawa jamaa wana propaganda ambazo zina tu brain wash akili zetuu zoooteee tuna wawaza wao tuu..
Inafikia mahali kijana anapata ka milioni kake kamoja,, anatamani kulima nyanya, anapata ushauri mbaya wa kwamba ela haitoshi.. Wakati iyo milioni moja analima vizuri tuu hata ekali mbili, kama akichanganya utundu wetu wa asili tuliokuwa tukiutumia kwa kuufanya modify kidogo kuendana na mazingira plus ata kumwagilia kwa mkono, na akatoboa.
Lakini leo,,,, tunakuwa propagate kila konaaaaaaa tutumie ela nyingiii kulima. Ili wachache walime.. Shame on us..
Nimechukia sanaaaaa